Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Babu njo nikupokee, nitakubeba mgongoni, ukilia nakurusha rusha juu. Ukizidi kulia nakupa maziwa ya ngo'mbe.
n'gome akikataa utampa ya nani?
Babu njo nikupokee, nitakubeba mgongoni, ukilia nakurusha rusha juu. Ukizidi kulia nakupa maziwa ya ngo'mbe.
n'gome akikataa utampa ya nani?
ya punda.
maziwa ya punda hayaliwi.
Ni kweli, ila yananywewa, tena matamu hayo.
maziwa ya punda hayaliwi.
duh!! kama kweli basi mimi nilikuwa sijui...ila najua babu hhawezi kukubali kupewa maziwa ya wanyama
Bado mpo? Sijafurahishwa na mapokezi. Hasa ya wajukuu. Niteme mate chini?
Acha tu mpwa. Regia amefanikiwa kuustua mtima wangu. Yule dada nyie mwacheni. Natamani nipate nguvu niamke hapa kitandani nikaweke shada la maua kwenye kaburi lake.... Hahah afu na maumivu haya najigangamala kuja kuwasabahi hapa jamvini lakini kuna binadamu asiye na huruma ananipiga dongo eti natafuta umaarufu kwa kuanzisha sredi. Damn haka kanokia na adiksheni ya JF bana. Anyway, Mungu amsamehe. Ntapona tu, inshallah!Babu,
Kweli sote tulikuwa na machungu ya Rejia, lakini mwenzetu nadhani ulijaribisha hadi uwezekano wa kwenda naye huko alikoamua kupumzikia!...lol!
Come on meeen, look , u can run fast...finally u r okkkkkk!!!!
Karibu sana mkubwa!
ng'ombe mdudu?
Sijambo. Shkamoo mtakatifu.Mwali hujambo? naomba nikubusu..mmm!!?
Tupo mbona? we umeenda wapi???Bado mpo? Sijafurahishwa na mapokezi. Hasa ya wajukuu. Niteme mate chini?