ODM:.... Get set.... Goooo!

Ukinionea RussianRoulette mwambie a-come this way.... Kuna ukaguzi flani hivi sikumfanyia. Afu yule shem wangu wa ukweli.... Damn nshaanza kusahau majina ujue. Yes, AshaDii mwambie ana kesi ya kujibu... Kama mtori ulimshinda si angenipikia uji tu....
Babu huyu shemeji yako ana mashitaka mengi sana ya kujibu...hata sijui atajiteteaje umwelewe...
 
Wapendwa salaam..... Baada ya vita kali na mazoezi ya kutosha: mie ODM wa wajukuu, mashemeji, wapwa, mahommies na mafellow tablets niko standby kuanza mbio za kurudi kwetu pazuri MMU na Chit Chat pa ukweee. Nahitaji bado sala zenu ili nirudi kwa ushindi. Nani atampokea babu? This time hakuna cha babu kurudi kitandani.... Nimeshtuka! Orayt ODM... On your mark.... Get set.... Gooo!
Karibu Mpenzi, tulikumiss sana.

By the way, yule Eliza wa Kingstar anasema mbona simu zake hupokei?
 
babu, huko pm kuna giza, mie mambo hadharani, siogopi wala nini. waache wawahi, ujanja kufika atii, mi natumia treni ya umeme, hizo za trl siziogopi wala nini.
sasa King... Maadam ushajua wanipendaga mbona nimebung'aa huku inbox sioni foleni za PMs. Hujui ku do the needful na vikongwe? Slow and tender actions, maxmum satisfaction, minimum risk, assuarance of soon and very soon benefits of Next of kin. Wahi kabla hujawahiwa lol

Kama kusutwa ama kudaiwa mi staki banaa, kha!
Unaitwa kule chit chat na bht.
 
@ Kingasti umesahau kuwa kusutwa ni suna? Nenda ukisutwa nakuja kuchangia...na mkweo na wifi letu ntawaambie waje wachangie pia!
 
Wapendwa salaam..... Baada ya vita kali na mazoezi ya kutosha: mie ODM wa wajukuu, mashemeji, wapwa, mahommies na mafellow tablets niko standby kuanza mbio za kurudi kwetu pazuri MMU na Chit Chat pa ukweee. Nahitaji bado sala zenu ili nirudi kwa ushindi. Nani atampokea babu? This time hakuna cha babu kurudi kitandani.... Nimeshtuka! Orayt ODM... On your mark.... Get set.... Gooo!

Imekuwa heri umerudi kiongozi,

Manake wajukuu zako, wapwaz, mshemejiz, mahommiez na wengine walikuwa na wasiwasi sana.

Siunajua tena kuanzia jumamosi hali ya hewa ilichafuka hapa JF.

Bila shaka zis time around utanikabidhi mjukuu wako mmoja mtiifu kuliko wote. lol
 
Ukinionea RussianRoulette mwambie a-come this way.... Kuna ukaguzi flani hivi sikumfanyia. Afu yule shem wangu wa ukweli.... Damn nshaanza kusahau majina ujue. Yes, AshaDii mwambie ana kesi ya kujibu... Kama mtori ulimshinda si angenipikia uji tu....

Kama talaka safari hii sijaomba kwa ajili ya manyanyaso nilopata kwa ndugu yake Sweetie, kweli ndoa yangu itadumu milele..... Sikujua shem kua wewe ni msumbufu hivi ukiumwa... Khaaaa!!! Kwa hio mtori unaopitishiwa asubuhi sio na wala haufai? Hata kama waumwa... I am MAD!

On a serious note: Darling shem watu walalama hawakupati kwenye simu.... Una simu ngapi (or should I say line ngapi?) hizo tuhuma sizielewi....
 
Babu njo nikupokee, nitakubeba mgongoni, ukilia nakurusha rusha juu. Ukizidi kulia nakupa maziwa ya ngo'mbe.
 
The beauty of MMU,...always funny and entertaining.
Thanks to the computers.
Welcome back Asprin.
 
Upuuzi mtupu. Muda mfupi uliopita ulidai uko hoi kitandani. Saa hizi unadai uko fiti sana. Kama hamna cha kuanzisha someni za wenzenu tu zinatosha....si lazima kila wakati muonekane nyie ndo mmeanzisha thred
Watu wako kwenye majonzi nyie mmeanza upuuzi wenu.

Ona mtakavyoshabikia..... huu upuuzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom