Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
...Pumba tupu!! nimesikiliza press conference yote na hakuna kibaya chochote alichosema, ipo obvious kwamba Hannity na hater mwenzake Rush watatoa interpretations zao za kipuuzi kwa kila atakachosema Prez elect.....kwa afya yako, nakushauri uache kusikiliza hao wapuuzi.
kalaghabao!
Sasa kwa nini kampigia simu Nancy kuomba radhi kama hakuna kibaya alichosema? Yaani wewe ni zeri kabisa.....