Obama naye yumo!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,224
0709_obama_11032342_h8320192_landov.jpg
 
Naona jamaa itabidi ampe Michelle maelezo ya how-kemu?

Mcheki Sarkozy naye kwa ubavu...mmmhhhh!!!!
 
Mara moja moja si vibaya kwani wakati mwingine utokea involuntarily.Unajikuta tuu umepoteza network.
 
Macho hayana pazia, hapo ndio wanaume tunaposhikiwa hata uwe na misuli au nguvu za nyuklia.. hapo utanywea tu.. Du kama vile Obama anasema cheki kiuno ka nyigu vileee... By the end of the day lazima uenjoy.....
 
jamani ukweli unabaki palepale ya kuwa sisi wanaume rahisi kutegwa kwenye tundu dogo la wanawake haijalishi ya kuwa wewe ni nani?
 
Ni binadamu kama wewe vinginevyo marais wawekewe vizuizi vya aina yake wanapokuwa hadharani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom