Naskia hata PM wa UK atakuwa ana attend na 47 heads of state in africa and 12 other heads of state from around the world
Last time condelezza rice SP alikuja hakuna kazi ilifanyika,network ya simu internet na misongamano barabarani shida tupu,hasa sasa tumejifanya kila kitu ni mobile money kununua,kutoa ama kuweka pesa kulipa bills kulipia parking n.k hapa ni hasara ya mamilioni,si angecome weekend,but theres a positive side of it,selling kenya to the whole world and hosting his delegation.P.R kwa wingi.
barabara ziko poa sasa lakini si mumeamua kila mtu anunue gari,uliona juzi watu wamespend ten hours mombasa road kwa kichaka jam ya almost ten km in the middle of nowhere.Hyo time ma bara bara nai yalikuwa mbaya na kenya was 23bn gdp
Naskia hata PM wa UK atakuwa ana attend na 47 heads of state in africa and 12 other heads of state from around the world
This is going to be nightmarish, marais 47 pamoja na Obama na waziri mkuu wa UK, yaani nawakaribisha kwa moyo wangu wote lakini nitahama Nairobi hiyo siku, labda nishuke Pwani kuvinjari na kutafuna vitu vyangu. Ama niende kwa kina kadoda11 na kui Hii Nairobi haitakalika.
Yaani Wakenya hii ni fursa ya nzuri ya kuifyonza dunia, tuonyenshe unyang'au full time kwa kuwa aggressive, wakitoka tuwe tumepiga hatua, hakuna kukenua meno ovyo. Tuingie mikataba na kutangaza nchi.
Halafu kila Mkenya awe makini kiulinzi, hata kama ni kubeba mapanga dhidi ya ujinga wa Alshabaab, maana washenzi wanaweza lipua zile viazi zao kwa uwoga uwoga na watuharibie
....Finally, mjaluo wa kwanza kupigiwa mizinga 21 na kukagua gwaride, sijui wanajeshi wa kikuyu watakubali? ..just a joke!

image is worth a thousand words.what was the motive behind this news if i may ask?.did he canceled the visit?NO.he didn't.
:eyebrows::eyebrows:
View attachment 239251