kimatire
JF-Expert Member
- Nov 27, 2008
- 371
- 93
Rais wa Marekani Barack Obama anatarajiwa kuzuru Afrika kuanzia tar.23 Aprili Ikulu ya Marekani imeeleza.Ziara yake itaanzia nchini Kenya ambako alizaliwa baba yake Hussein Obama na mahali inaposadikika alianzia kampeni yake ya Urais,Ziara hiyo itakayomchukua katiika nchi tano za Kiafrika anatarajiwa kutembelea UgandaRwanda,Swazland na Afrika Ya Kusini.Ratiba kamili itatolewa na Wizara ya Nje ya Marekani na kupatikana katika balozi zake kote duniani.