Obama kaharibu picha

Naona mzee wetu wa kaya katoka chicha, big up sana mzee wetu kwa kutuwakilisha vyema!!!!

Mzee wenu katoka chicha; mshukuruni Mungu kwa kuwapa mbuga ya serengeti iliyomuwezesha kuiuza kwa mwarabu mpaka akapata suti tano za savile Row anazoshobokea nazo!!
 
duh, jamaa anafaidi, mcheki Jk amekuwa mweupe kumfikia Obama, kweli pesa ndio kila kitu. Jamaa 2005 hakuwa hivyo.
 
Itakuwa mchina.halafu mkono wa obama umefanyiwa phone editing siyo wa uhalisia

Umeona eeee!! Kweli aisee, alaf iweje anyooshe yeye peke yake tu?? ****** kwa kuiga vya kidhungu lazima na yeye angenyoosha kama angemuona Obama kanyoosha.
 
Umeona eeee!! Kweli aisee, alaf iweje anyooshe yeye peke yake tu?? ****** kwa kuiga vya kidhungu lazima na yeye angenyoosha kama angemuona Obama kanyoosha.

Mh! Jamani kuandika M...k...w...e...r...e hapa jf imekua nongwa?? Naona hapo juu nimeandika imetokea ******, kama hairuhusiwi tuhabarishane tusije pigwa BAN wakati bado twaipenda jf.
 
Mmmh! Ina maana obama ni mfupi kuliko baba ri-zii-wani'??
Jamaa anacheka nini sasa!
 
obama acha ujinga china ni taifa kubwa ongeza juhudi hutoipita kwa kutegemea wizi na wivu 2015 karibu sana
 
ni rais wa dunia na ndo maana kainua mkono anatusalimia sisi watu wake, viongozi wengine wanaambulia kujichekesha tu.
 
Dah kamharibia sana huyu ni prezdaa wa Mongolia,

naona mshkaji jk baada ya kuona jamaa kanyanyua mkono akaksogea upande mwingine , siunajua jamaa anavyopenda ma snaps
 
Back
Top Bottom