Obama bar & guest house - esso ndani ya A- town

Mi hua siingii gest za 5000, nikuanzia 15,000 kwenda juu hiyo itakuwa uswazi kinoma na haina ac halafu feni linalia pa pa pa pa pa pa pakapapa pa pa. Kitanda kinalia kwechukwechukwechukwechu. Pua lazima uibane kidogo upumulie juu juu maana harufu. Halafu kwenye dust been lazima ukute kuna ndom zilizotumika.

Mkuu sure! hata mimi huwa siendi guest za 5,000. maana unaweza ukaondoka nammagonjwa na kujitibu ika cost 50,000/=

Yah unaenda sehemu unaketi kwenye kochi soafa safiiiii, kiyoyozi full kipupwe, unaagiza vyakula na vinywaji ndani kwa simu tu. Mkimaliza majamboz mnaoga swaaaafiiiii. Mnaagana, ukitaka siku nyingi unapiga simu tu kwa reservation kisha unamwambia mtoto atangule ukifika unakuta mtoto katulia anasubiri mle raha. Ila ukimwi nouma. ukimwi unaua

Wakuu msisahau kwamba tumetofautiana uwezo, kwa mwingine hiyo buku tano yenyewe kajikamua vibaya mno.

Hata hao wanaokaa unga ltd, manzese na kwingineko tunakoita uswahilini, sio kwamba wote wamependa isipokuwa hali halisi ndio imewalazimisha.

Lakini pamoja na yote ukweli ni kwamba wao wana enjoy na hawaoni shida, sijui mambo ya kunguni sijui kitanda kupiga kelele ndo starehe yenyewe!!
 
Mi hua siingii gest za 5000, nikuanzia 15,000 kwenda juu hiyo itakuwa uswazi kinoma na haina ac halafu feni linalia pa pa pa pa pa pa pakapapa pa pa. Kitanda kinalia kwechukwechukwechukwechu. Pua lazima uibane kidogo upumulie juu juu maana harufu. Halafu kwenye dust been lazima ukute kuna ndom zilizotumika.

Kha i see upo juu sana yaelekea una fwedha sana.

Mi siingi guest inayo zidi 5000
 
wadau weekend hii(juzi ) nilikuwa hapa. nawashauri wadau mlioko arusha.
mpite pite huku. ni fuul kujiachia. huduma zote unapata.View attachment 34375
Mkuu nakushauri week end nyingine utembelee bar moja inaitwa Shauri Moyo Bar iko Matejoo hadi ganja inawekwa kwenye bill yaani huko ni full starehe hakuna pombe utakosa, mirungi yani kila kitu kipo na viburudisho viko hadi vya jero na kuna hadi room za 1500 iko hapo
 
Mkuu nishamaliza huko.
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mkuu nishamaliza huko.
duuh we kiboko sasa kuna zingine majengo ya juu sehemu inaitwa urundini na mara nyingi starehe huko huishia active disco mbauda starehe za uswazi zina raha yake baana hamna cha mawingu, masai wala colobus huko kwa masharo
 
Yaap...huko ndio tz mkuu.
 
Hiyo 900 ya nini au ndio kupigwa bao? halafu nani kanywa bia mbili kati yako na mdau?

Haya ndo mambo ya vilevi vikali kabla ya mechi.....ila mdau namshauri siku nyingine pia balansidi diet tu usinywe pombe. Nna wasiwasi kondom haijatumika si unajua POMBE NI NOUMER.....
 
wewe mchaka mchaka na pukudu @!$**"%$ zenu nyie mafirauni wakubwa msijifanye mnapenda za uswazi nani asiwejaua nyie wakopaji wakubwa huko shiverz, mrina ,arusha star na clock tower mnajulikana warushi wakubwa ndo maana mmekimbia msijifanye sijui maisha halisi ya mtanzania m****ya pori wakubwa nyie
 
wadau weekend hii(juzi ) nilikuwa hapa. nawashauri wadau mlioko arusha. <br />
mpite pite huku. ni fuul kujiachia. huduma zote unapata.<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=34375&amp;stc=1" attachmentid="34375" alt="" id="vbattach_34375" class="previewthumb" />
<br />
<br />
mkuu vipi?utakuwepo pande hizi weekend ya leo?
 
Back
Top Bottom