Obama anawamaindi wakenya....Safi sana.

Kawalambisha halafu akachomoa. Kweli huyo ni wa Illinois. Wakenya hivi sasa naona bado hawajamwelewa mkuu BO.

Kale ka ndoto ka Kenya kuwa jimbo, kama Puerto Rico, sijui kama bado kanaendelea kukua ndani yao. lol

KANDOTO KAGANI mAX, WACHA ZAKO. Obama was celebrated by everyone, sasa hapa wajifanya eti ni wakenya pekee yake ambao walimwita Obama ni wao,? sare zaa hizo.
 
KANDOTO KAGANI mAX, WACHA ZAKO. Obama was celebrated by everyone, sasa hapa wajifanya eti ni wakenya pekee yake ambao walimwita Obama ni wao,? sare zaa hizo.

Yes, indeed. "Obama was celebrated by everyone", except the 'mungikis'. Niliona mifano wazi ya baadhi ya 'Wakenya' ambao hawakupenda ushindi wa Obama!
 
Marekani imesitisha ufadhili wa dola millioni saba kwa mpango wa elimu ya bure kwa shule za msingi nchini Kenya.
Balozi wa marekani nchini Kenya Michael Ranneberger amesema ufadhili huo utasitishwa hadi pale madai ya ufisadi katika wizara ya elimu yatakapochunguzwa.
Hatua marekani kusimamisha ufadhili huo imechukuliwa mwezi mmoja baada ya serikali ya Uingereza kuondoa ufadhili wake kwa sekta hiyo ya elimu.
Balozi Ranneberger amesisitiza kuwa ni lazima mpango mzima wa elimu ya bure nchini Kenya ufanyiwe uchunguzi.
Marekani imekuwa ikishinikiza serikali ya Kenya kutekeleza mabadiliko.


http://www.bbc.co.uk/swahili/news/story/2010/01/100127_kenya_us.shtml
 
Ngoja nimuangalie brother JALUO na STATE OF THE UNION SPEECH...........
 
Back
Top Bottom