Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,350
Matoba..
Kayembe yoyoo bongisa.........
Nzaya Nzayadio, Ndukidi, Tonele, Mombasa vata, kiamangwana mateta, daaaaaaaaaaaaaaaaaaaah wimbo mtamu saaaaaaaaaaana huuuuuuuuu inanikumbusha nikiwa hata shule sijaanza nikiwa Sumbawanga miaka ya mwanzo ya themanini kaka zangu na rafiki zetu pale mtaani walikuwa wanaziimba hizi nyimbo saaaaaaaaana! wakati ule kavasha ipo juu!!! mzee wangu alikuwa na nyimbo za Lwambo, South Africa kibao, rafiki zetu walikuwa na nyimbo za kenya kibao. Kati ya wimbo ambao nilikuwa naupenda mpaka leo ni KAMIKI... kamiki yeye motema ooooh! kamiki yeyeyyyy motema oooooh! Jamani wikiendi Njema!!!!!