Nyumbani,unaweka simu kwenye vibration mkewe akueleweje??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,986
22,173
Hii tabia si njema wanandugu hasa wana ndoa
kaama mmeamua kuaminiana akuna haja ya kukimbizana na small house,..maisha haya yatakufanya usiwe huruu kabisa kwneye familia yako...ukifika nyumbani simu unaweka kwenye ibration,..ikipigwa simu ohh rafki wa ofisii,....ooh huyu alikuwa mate wangu
embu tujiheshimu tuwe wazi kwenye kila sehemu weka simu yako ringing tone ikishine na nyimbo za utukufu wa yesu...usimweke mwenzio kwene maswali majibu yake utalia wewe kama si siku hio ama rest ya maisha yako......
badilika sasa
 
kaka mimi sipendi ring tone yoyote,simu yangu inakuwa kwenye vibration muda wote,na ikivibrate hata ukilala lazima uamke maanake itaanza kutembea,je huko ni kutojiheshimu?
 
Milio ya simu ina kera mno.simu yangu hipo kwenye vibration siku nzima na ikifika wakati wa kulala naiweka silent kabisa.wife hajawahi kusikia mlio wa simu yangu kwahio kashazoea kwamba hipo kwenye vibration kila siku hawezi kuwa na wasi wasi kwa vile ni tabia alionikuta nayo.
 
sasa hiyo vibration si inasikika... watu wengine bana wanapenda kulalamika
 
kaka mimi sipendi ring tone yoyote,simu yangu inakuwa kwenye vibration muda wote,na ikivibrate hata ukilala lazima uamke maanake itaanza kutembea,je huko ni kutojiheshimu?

yako haina tabu mradi wife wako anajua hupendi milio ya simu na itakuwa from day one umemzowesha ..
 
kaka mimi sipendi ring tone yoyote,simu yangu inakuwa kwenye vibration muda wote,na ikivibrate hata ukilala lazima uamke maanake itaanza kutembea,je huko ni kutojiheshimu?

Kuweka mlio sio kujiheshimu.. Mie naudhika upo hm halafu mlio wasimu kama honi za barabarani. Vibration ni ustaarabu. Ndio maana urakuta watu wanaingia bank, hosp. Au sehemu yakusanyiko na milio kama ving'ora
 
Nimezoea vibration mkuu tena ile ya chini kabisa. Kuna wakati ina vibrate siisikii nakuta missed calls tu.

Milio kwangu kero sana, hasa ukiwa sehemu za uma
 
Ukitaka kuishi kwa Amani pande zote ni kuachana na simu ya mwenzio tu, sio Michepuko tu hata ishu nyingize za Familia wengine hawapendi wenza wao kujua maana wanagubu ! Mwisho wa siku atakutukania hizohizo weakness za kwenu
 
Kama ya sasa ninayo sijui miez sita hata ringtone zilizomo sizijui!!!!!!
Vibration tu nenda rudi maisha yangu na ukizoea hata ukilala ikiita unasikia! !!!!!

Wenzangu na mie pono hapo watabisha!!!
 
zingine zinaweka silence kabisa hata vibration inaondolewa!!!Mtu anapiga jicho tu sim mara kwa mara:)
 
Back
Top Bottom