House4Sale Nyumba zinauzwa Kibaha

zwenge ndaba

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
2,018
3,516
Nyumba zinauzwa, kibaha kwa Mathias,za kibiashara kwa ajili ya wapangaji na moja inayojitegemea,ziko tatu katika sehemu moja ,ya kwanza vyumba vitatu na sebule zake inajitegemea,ya pili vyumba viwili na sebule zake,ya tatu Ina vyumba 4 kimoja master na jiko na sebule,km 2 toka morogoro road,

Ukubwa wa kiwanja Ni robo eka.bado nafasi kubwa imebaki

Bei milioni 80 kote

0762689034

IMG_20220922_132916.jpg
IMG_20220922_133113.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom