nyumba zauzwa (kipunguni area)

Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,805
173
WanaJF,
Kuna nyumba mbili zauzwa jijini DSM eneo la kipunguni-mashariki jirani ya kitunda kama ifuatavyo:-

1. NYUMBA YA KWANZA
Ina vyumba 3 vya kulala, jiko, dinning, sitting rum, veranda, internal toilets, well fenced. Bei yake ni tsh: 40,000,000/=
NB: Haina eneo la ziada kwa kuendeleza chochote, nyumba hii ni kubwa.
Kwa mawasiliano: 0652-685070

2. NYUMBA YA PILI
Ni ndogo na ni ya uwani, ina vyumba 3, ina sebule ndogo, ina car parking, ina minor veranda,
NB: Ina eneo kubwa lenye uwezo wa kujenga nyumba kubwa 2 na zote zikawa fenced, bali pia sehemu kubwa ya garden inawezekana kuwekwa. Bei ni tsh: 45,000,000/=
Kwa mawasiliano: 0715-988888.
Maeneo haya yote ni HAYAJAPIMWA na yalikuwa ni mashamba ya minazi/mikorosho,
 
kipunguni ni sehemu moja wapo inatakiwa kwa upanuzi wa uwanja wa ndege. Ninavyojua kuna mgogoro kuhusu fidia. ya mwaka 1947 au thamani ya sasa ya mali zilizopo. Sasa wewe unataka kuuza ili hilo tatizo unamwachia mnunuzi?

macinkus
 
WanaJF,
Kuna nyumba mbili zauzwa jijini DSM eneo la kipunguni-mashariki jirani ya kitunda kama ifuatavyo:-

1. NYUMBA YA KWANZA
Ina vyumba 3 vya kulala, jiko, dinning, sitting rum, veranda, internal toilets, well fenced. Bei yake ni tsh: 40,000,000/=
NB: Haina eneo la ziada kwa kuendeleza chochote, nyumba hii ni kubwa.
Kwa mawasiliano: 0652-685070

2. NYUMBA YA PILI
Ni ndogo na ni ya uwani, ina vyumba 3, ina sebule ndogo, ina car parking, ina minor veranda,
NB: Ina eneo kubwa lenye uwezo wa kujenga nyumba kubwa 2 na zote zikawa fenced, bali pia sehemu kubwa ya garden inawezekana kuwekwa. Bei ni tsh: 45,000,000/=
Kwa mawasiliano: 0715-988888.
Maeneo haya yote ni HAYAJAPIMWA na yalikuwa ni mashamba ya minazi/mikorosho,

Kwa nini usitangaze kuuza uwanja wa ndege tu ijulikane ni dili ya ki-uwendawazimu? kipunguzi kuna issue ya fidia ni eneo la uwanja.
 
akuna eneo ambalo alijapimwa wote wana leseni za makazi na sasa zinatolewa hati kamili hebu toa ramani kamili ya maeneo maana tinga tinga linapita kote tupe ramani vzuri
 
Eneo hilo kuna baadhi wamepima ila kiujumla ni halijapimwa (kwa mujibu wa mmiliki wa eneo mwenye namba hizo za simu). Hivyo iwapo kunahitajika further clarification...pls do not hesitate to buzz him direct.
 
that is good news,we need it if you are interested its better to make appropriate follow up before any financial transaction,what we need is basic info,or you peaple do purchase without considerings such things,title deed,town plan etc?
thank you for this useful post
 
Hizo nyumba bado zipo, zina eneo zuri la kuendeleza hata ujenzi mwingine. Itokeapo kuhamishwa ni sharti tathmini itolewe upya na malipo ni ya viwango vya wakati husika.
Lakini ni makazi mazuri na tulivu japo walevi wa gongo wanayumba barabarani na baiskeli zao za mayai.
 
hizo zitaendelea kuwepo mpaka tingatinga lijekubomoa na hakuna tathimini mpya itakayopita zaidi ya iliyokwisha kupita alafu acha utani na majirani zangu wakurya
 
Well, mie binafsi nimejenga huko Kipunguni na matatizo ninayoyaona sishauri wengine wafanye hivyo. Kati ya 1997 - 2009 niliwekeza karibu 200 milioni lakini naambiwa kuwa hakuna fidia maana ujenzi ulisimamishwa 1996 baada ya tathmini kupita. Ni ngumu kuelewa ingawa bado tunasubiri hisani za serikali.....
 
wanajf,
kuna nyumba mbili zauzwa jijini dsm eneo la kipunguni-mashariki jirani ya kitunda kama ifuatavyo:-

1. Nyumba ya kwanza
ina vyumba 3 vya kulala, jiko, dinning, sitting rum, veranda, internal toilets, well fenced. Bei yake ni tsh: 40,000,000/=
nb: Haina eneo la ziada kwa kuendeleza chochote, nyumba hii ni kubwa.
Kwa mawasiliano: 0652-685070

2. Nyumba ya pili
ni ndogo na ni ya uwani, ina vyumba 3, ina sebule ndogo, ina car parking, ina minor veranda,
nb: Ina eneo kubwa lenye uwezo wa kujenga nyumba kubwa 2 na zote zikawa fenced, bali pia sehemu kubwa ya garden inawezekana kuwekwa. Bei ni tsh: 45,000,000/=
kwa mawasiliano: 0715-988888.
maeneo haya yote ni hayajapimwa na yalikuwa ni mashamba ya minazi/mikorosho,

kimeo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom