Nyumba za wachungaji vs nyumba za waumini

uchichezi
Dar_Ikulu-tz.jpg

Pic-9.jpg
 
Uongo mkubwa sio kweli hkna maskini mwenye uwezo,wa kumjengea mchngj nyumba ya kiasi hicho.
Hakuna uwiano kbsa.
 
kuna mtu anaguswa mfukoni; si wanatoa kwa hiari yao?

ngoja watoe ili neno lizidi kuhubiriwa na hatimaye mioyo migumu ipondeke na ufakme utawale!!

HABERA URYA!

sema AMINA! ye mgabo
Bila kutoa pesa neno halitoki ?...., alafu kama robo tatu ya misa inatumika kuhamasisha watu watoe pesa na sio kuwapa chakula cha roho hapo tunakuwa tumeingiza ya Kaisari pasipohusika
 
Wajinga ndiyo waliwao Mkuu. Gwajima miaka michache tu iliyopita alikuwa hohe hahe kawafuma wajinga wake sasa ni bilionea! Na mifano iko chungu nzima katika nchi nyingi duniani.
Unahakika anatajirika kwa hiyo pesa ya wajinga pekeyake?hukumbuki alitajwa na Mwanamfalme kwamba nimmoja wa dealers?... Ila yule Bulldozer ndie anawaburuza wajinga pale Kawe ...
 
Acha kuongea vitu ambavyo huvijui wewe hao wachungaji wana mishe nyingine kabisa sadaka sio lazima utoe na kingine kama hujui ukifungua kanisa lenye watu kuanzia mia tano unafadhiliwa na makanisa au wahubiri wa kubwa wa nchi za ulaya
Hizi ni nyumba za wachungaji wanao waambia waumini kama wasipolipa zaka au fungu la kumi wataalaaniwa na watakwenda motoni
Nyumba za chini ni nyumba za waumini wenyeweView attachment 1188150View attachment 1188151View attachment 1188152View attachment 1188153View attachment 1188154View attachment 1188155View attachment 1188156View attachment 1188157
 
Mito inapeleka maji ziwani/baharini. Hiyo ni kawaida wala hakuna cha kushsngaa hapo.

Kama muumbaji aliumba hivyo wewe unawezaje kutengua?
 
Back
Top Bottom