Nyumba za national housing, uonevu kwa watz walio wengi

Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,537
6,458
JAMANI, hivi nyumba za national housing wanaostahili ni watanzania wachache tu au ni watanzania wote? KWANZA KABISA NI NYUMBA ZA WATANZANIA WOTE, lakini, mbona wakati wa kupanga, wapangaji walewale huwa hawaondoki? na ninasikia sasahiivi wanataka wauziwe na kuuziwa nyumba hizo ati kwasababu wamekaa sana humo ndani....swali langu...

1. KWANINI SISI WATANZANIA WENGINE ambao hatujapa bahati kupanga mle, tusiuziwe nyumba hizo

2. nyumba nyingi ziko prime areas, maeneo makubwa ajabu, kwanini magorofa yasijengwe kuweza kupangisha watu hata mia tatu kwenye kiwanja hicho kuliko kumilikishwa watu chini ya kumi?

3. bei zao ni chini sana kuliko sisi wa uswahilini, kwanini isipangwe tu kwenye mkataba kuwa mtu asimrithishe mtoto wake kwenye mkataba>

4. imagine majumba ya watanzania ya kule UPANGA yanauziwa mtanzania mmoja mmoja maeneo prime kama yale, kuna haki na usawa kwa watanzania?

5. napinga kuuzwa majumba yale ya upanga na sehemu zingine bora kwa watu binafsi, hapatatosha hakiyanani kama NHC mtafanya hivyo...sisi watz wengine pia tuna haki na hizo nyumba na tumepambana sana miaka nenda rudi kupanga humo lakini tumekosa...tunaomba hao walioko humo mkataba ukiisha WAAMBIWE WASIPANGE TENA ILI WATZ WENGINE NAO WAPANGE. waje huku mtaani wapange kama wengine.

7. kwanza wamekaa miaka yote hiyo, hata nje yawajajenga nyumba, zinawalemaza, bora kuwe na mzunguko ili wapate akili.
 
naomba anayejua namna ya kupanga kule upanga anielekeze nikapange jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom