Nyumba ya machapisho

Jun 5, 2023
8
7
Kumekuwa na tatizo kubwa sana kuhusiana na ubora wa PASSPORT SIZE kawaida ya passport size inataiwa iwe na background ya Light blue na siyo dark blue na pia Dimensions za passport size ni (45mm × 35mm) Yani Height × Width na yote hii hutokana na ubora wa machine zinazotumika kwenye uchapishaji katika ofisi nyingi za steshenari ni hafifu nikimanisha ni printers za Bei nafuu hivyo hata ubora wake unakuwa mdogo sana wakati mwingine unapeleka passport size wanaikataa inabidi sasa ukapige tena mfano Benki ya CRDB wao Wana options mbili wanatumia Standard passport size nikimanisha (45mm × 35mm) pia wanatumia US passport size Dimension Yani hii ni kubwa ina (2 by 2 inch) pia na background nyeupe Sasa hili ni janga kubwa Sana Sasa sisi kama MachapishoAgentLtd tunawaletea huduma nzuri popote pale ulipo unapata passport zenye ubora mkubwa sana Cha msingi tu masharti kuzingatia

1. Sisi tunatumia mashine za gharama Sana kufanya picha kuwa bora na yenye kuvutia ili Kila sehem ikubalike

2. Sisi tunahakikisha popote pale ulipo unaweza pata huduma Kwa namna gani Yani Cha msingi we piga picha Yako Kwa kutumia camera nzuri ya simu Yako hakikisha kuwe na mwanga hakikisha simu Yako unayotumia ni bora kidogo hivyo itatufanya sisi tuifanye kuwa bora zaidi na yenye kuvutia

3. Sisi tunatuma Hadi mikoani picha kwasababu mikoani ni changamoto kubwa sana kuhusiana na passport size huduma yetu ikoje iko hivi KUANZIA PASSPORT SIZE 8 sisi tunafanya Kwa 7000/= hivyo kuanzia passport size 40 inawezeka ukatumiwa vizuri kabisa

4. Sisi tuna Color retouching Yani tunaipendezesha picha Yako na kuwa katika muonekano mzuri sana na wenye kuvutia

5. Sisi tuna tengeneza passport size zozote zile ambazo unaweza kwenda kuombea VISA kama US EMBASSY, UK EMBASSY na balozi nyingine zote

6. Pia sisi tunafanya Interior design Yani tunatengeneza picha na flem zake ukutani zenye ubora zaidi na kutumiwa popote pale Cha msingi masharti kuzingatiwa

Popote pale ulipo we tupigie sim sisi tupo DSM wasiliana nasi tutakupa maelekezo jinsi ya kutuma picha Yako ili uweze pata picha bora zaidi popote pale ulipo

Wasiliana nasi 0657709912 wingi wa picha zako ndo upungufu wa Bei (Highest Quantity lowest price)

machapishoagent the Home of prints
 
Weka picha tuone. Kuna picha kibao tu za mitandaoni. Unaweza kuzitumia hizo picha kama sample. Hivyo acha visingizio.
 
Weka picha tuone. Kuna picha kibao tu za mitandaoni. Unaweza kuzitumia hizo picha kama sample. Hivyo acha visingizio.
Hizo ndo standard passport size kuna Right blue background na white Background
IMG_8598.JPG
passport.JPG
 
Back
Top Bottom