Nyumba ya kupanga

freesoul

Member
Mar 1, 2013
11
0
habari wanajamvi wenzangu.
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mbezi beach, kunduchi au mwenge. Iwe na chumba cha kulala, sebule na jiko. Kwa yeyote mwenye taarifa here is my mobile no: 0653 84 26 43.
Asanteni.
 
Naomba tu ufanikiwe kupata, madalali wa nyumba ni majanga.
Fikiria kutafuta Tegeta pia,folen si tatizo
 
Kna vyumba viwili no jiko maeneo ya ubungo basi moja tu kokote uendako dsm hii ni pm kama unahitaji huku kodi elfu 80 vyote fenci,gate uwe single men or women
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom