Nyumba ya Kupanga Inahitajika

Kaniki1974

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
352
22
Nyumba ya kupanga inahitajika Dar es salaam Tanzania maeneo ya Mikocheni, Mbezi beach, Bahari beach, Kunduchi, Kijitonyama. Bei maelewano kama ilivo hali halisi Dar. Nyumba iwe na yafuatayo:

  • Vyumba visivyopungua vitatu vya kulala
  • Maji ya uhakika
  • Fensi na parking ya walau gari moja
  • Ifikike bila shida wakati wa mvua
  • Usalama (low crime area/street)

Iwe tayari kuhamiwa Julai 2009. Mawasiliano hapa hapa serious offers through PM

Thanks JF
 
dear kaniki,

ukipenda kuna nyumba hapomagomeni safe area ya vyumba vitatu ni apartment ghorofa ya pili ina walinzi wa mchana na usiku maji no noma umeme ni wewe tu kwani ni luku yako pekee nyuma ya kanisa la roma utaona ghorofa zuri nenda ukacheki
 
Kuna nyumba kijitonyama.
- maji yapo sana
-umeme ni luku yako-
-3 bed rooms, moja ni master
-vyoo viwili vya public
-sebule
-jiko
-chumba cha kujisomea
-fance
 
Kuna nyumba kijitonyama.
- maji yapo sana
-umeme ni luku yako-
-3 bed rooms, moja ni master
-vyoo viwili vya public
-sebule
-jiko
-chumba cha kujisomea
-fance
Bei? Nani wa kuwasiliana nae? Namba yake ya simu? Kuna picha zake?
 
Nyumba ya kupanga inahitajika Dar es salaam Tanzania maeneo ya Mikocheni, Mbezi beach, Bahari beach, Kunduchi, Kijitonyama. Bei maelewano kama ilivo hali halisi Dar. Nyumba iwe na yafuatayo:

  • Vyumba visivyopungua vitatu vya kulala
  • Maji ya uhakika
  • Fensi na parking ya walau gari moja
  • Ifikike bila shida wakati wa mvua
  • Usalama (low crime area/street)
Iwe tayari kuhamiwa Julai 2009. Mawasiliano hapa hapa serious offers through PM

Thanks JF
KANIKI,
Ukitaka kupata nyumba eneo hilo hilo unalolitaka na kwa sifa unazotaka,
wewe taja offer yako nzuri.
Wapo watu watakao kuwa tayari kukuachia nyumba wakapange au kununua viwanja hule Pugu-kajiungeni au Kisarawe.
 
kuna nyumba ipo kunduchi,itakuwa tayari mwezi huo wa saba,
kama uko serious toa namba yako tukupigie na ukaione
 
[This is off topic]

Cheka,

Sina hakika kama inawezekana kubadilisha username yako bila msaada wa moderators. Kwa kuwa umejiunga punde tu, bora ukafungua account nyingine kwa username tofauti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom