Nyumba ya kuishi inahitajika

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
15,853
22,991
Nyumba ya kuishi ya kununua inahitajika vyumba 3 vya kulala iwe na sitting room,bafu,choo,jiko na store ndani,bei isizidi 20m,maeneo ya Ubungo mpaka Kibaha(Kongowe) iwe na umeme,ikiwa na maji itapendeza zaidi.Ukiwa nayo ni pm.
 
Nyumba ya kuishi ya kununua inahitajika vyumba 3 vya kulala iwe na sitting room,bafu,choo,jiko na store ndani,bei isizidi 20m,maeneo ya kimara mpaka Kibamba iwe na umeme,ikiwa na maji itapendeza zaidi.Ukiwa nayo ni pm.

mi ninazo 3 na ziko mbagala chamazi zinauzwa 25m mi ni dalali 0657 14 55 55, 0686 200 117
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom