Nyumba ya kisasa haitakiwi kukosa vifaa hivi

Kuna tunao amini kuwa ukiweka CCTV ni pull factor kwa wezi,wezi wakiona ume exaggerate ulinzi,mara mbwa kali,mara electrified wall,mara razor wire na sasa CCTV wanajua huyu ana mali nyingi ndani ndio maana anajiwekea ulinzi wa kupitiliza,this is what we call MBWA KALI CULTURE
 
Sio kila system inafaa kuwekwa kila mahali , inafaa kuweka system ya ulinzi sahihi mahali sahihi, sisi tunafunga system tofauti za ulinzi ukija kwetu tutakushauri nini ufunge kupata matokeo mazuri ya unachokihitaji.
 
Naweza kupata cctv ambayo ntalocate popote ninapokuwa kwa kupitia simu yangu au computer yngu
 
jipatie ofa nzuri ya camera za majumbani maofisini na viwandani zenye warranty ya mwaka mmoja kutoka isecure technology, Tunakuhakikishia kazi yenye ubora mzuri , vifaa imara na huduma uhakika, wasiliana nasi kwa 0714890018 , info@isecure.co.tz , www.isecure.co.tz
 
Karibu ujipatie huduma zifuatazo kutoka isecure technology
  • CCTV camera systems repair and installation
  • Fire alarms systems repair and installation
  • Access control systems
  • Video intercom systems
  • Automatic gates. Repair and installation
  • Car tracking systems installation
  • Electric fence
  • Time attendance systems
 
Karibuni mjipatie alarm na tracking system bora zaidi tanzania. Hivi karibuni nitatangaza ofa kwa ajili ya vifaa vya usalama majumbani, maofisini na tracking system . Nipigie 0714890018 kwa maelezo zaidi
 
Karibu ujipatie huduma zifuatazo kutoka isecure technology
  • CCTV camera systems repair and installation
  • Fire alarms systems repair and installation
  • Access control systems
  • Video intercom systems
  • Automatic gates. Repair and installation
  • Car tracking systems installation
  • Electric fence
  • Time attendance systems
 
Wewe binafsi una kifaa kipi kati ya hivyo na kwa nini hauna hivo vingine???

Ukijua vifaa alivyweka itakusaidia nini katika ulinzi kwa upande wako?
Kama unataka proof ya kazi anazofanya just ask him/her a Portfolio.
 
Karibu ujipatie huduma zifuatazo kutoka isecure technology
  • CCTV camera systems repair and installation
  • Fire alarms systems repair and installation
  • Access control systems
  • Video intercom systems
  • Automatic gates. Repair and installation
  • Car tracking systems installation
  • Electric fence
  • Time attendance systems
 
Karibu ujipatie huduma zifuatazo kutoka isecure technology
  • CCTV camera systems repair and installation
  • Fire alarms systems repair and installation
  • Access control systems
  • Video intercom systems
  • Automatic gates. Repair and installation
  • Car tracking systems installation
  • Electric fence
  • Time attendance systems
 
Karibu ujipatie huduma zifuatazo kutoka isecure technology
  • CCTV camera systems repair and installation
  • Fire alarms systems repair and installation
  • Access control systems
  • Video intercom systems
  • Automatic gates. Repair and installation
  • Car tracking systems installation
  • Electric fence
  • Time attendance systems
Mdau naomba kujua electric fence ni bei gan kwa meter? or nambie kwa eneo la urefu wa meter 80 itagarimu kiasi gan?
 
Kuna tunao amini kuwa ukiweka CCTV ni pull factor kwa wezi,wezi wakiona ume exaggerate ulinzi,mara mbwa kali,mara electrified wall,mara razor wire na sasa CCTV wanajua huyu ana mali nyingi ndani ndio maana anajiwekea ulinzi wa kupitiliza,this is what we call MBWA KALI CULTURE
Ss mtu ana fence ya umeme na alarm na guards wale nk unamuibiaje...itacucost sana pia kuja kumuibia na ni risk kubwa pia.,
Incidence za wizi zipo zaidi maeneo yasiyo na vifaa hivyi
Japo Generally mlinzi ni Mungu, mana asipoulinda mji wakeshao walinda bure
 
Ntakuwa wa ajabu saaana kama nitafunga cctv camrs kwenye nyumba ya kupaaanga....
CCTV cameras sio kwa ajili ya kujilinda na wezi tu, pia unaweza kutumia kuangalia malezi ya mtoto wako nyumbani na matukio mengine , sio lazima ufunge system kubwa unaweza kuwa na camera chache zinazoweza kukufaa kwa matumizi yako.
 
Back
Top Bottom