Nyumba ya kisasa haitakiwi kukosa vifaa hivi

'Mteja ni mfalme', 'daima mteja yuko sahihi'. Umeshaweka tangazo lako, subiri wateja na isiwaoneshe wateja wako kuwa huna subira na watu wanapouliza au kuchangia lolote juu ya tangazo lako hata kama hawaongei kwa uzuri
Asante ndugu kwa ushauri.
 
Nimekukubali mkuu. Siyo mijitu mingine inajiita mifanya biashara ukiliambia kuhusu kitu fulani linasema, "Watu wa huku hawavijui hivyo, kwanza ni wewe wa kwanza kuulizia".

Watu wanaweza kuwa wanahitaji huduma lakini hawajui kama wewe unayo.
Wanaweza kuwa wanataka pia kitu ambacho hawakihitaji.
Wanaweza kuwa wanahitaji kitu ama huduma wasiyoijua.
Umenikuna sana. Create awareness, Sensitize, toa solution, mobilize!.

Lakini pia mkuu wanaweza kuhitaji kitu ambacho hawana uwezo nacho. Hapo umejipangaje? ninafahamu unajua kile ninasema. Ni bidhaa muhimu lakini watu umewaelewesha, wamehamasika sasa wanahitaji kwa kila hali lakini fedha za kukupa hawana. Unafanyaje? Hata mimi itakuwa mteja wako.

Tuzungumze.

Lakini safi sana na hongera.

Karibuni kwa vifaa vya kisasa vya usalama na kwa gharama nafuu
 
Labda niliweke hivi ni ngumu sana kuweka bei ya vyote sababu kama ni cctv inategemea na specification za mteja na eneo , mfano mtu anaweza kukwambia anahitaji kamera moja au mbili lakini ukifika eneo la kazi unagundua kuwa zinahitajika kamera zaidi ili mpangilio wa usalama ukae vizuri . Lakini pia kuna mtu atahitaji kuhifadhi data kwa miezi mitatu , sita , kuna aina ya kamera, dvr ndio maana inakuwa ni vizuri kutembelea eneo la kazi. Muda si mrefu nitatoa ofa zikiwa na makadirio ya bei ya nzuri lakini kwa haraka naweza kukuweke ccctv ya camera nne kwa 1.5m , camera mbili 0.9M unapolipia hiyo ni kuwa utapata kazi iliyo kamilika na kitu kama car tracking system ni laki 3. Karibu ndugu
Ahsante mkuu kwa ufafanuzi. Naona bei zako siyo kali sn, ila ni matarajio yangu kuwa ifikapo mwaka 2018 hivi utakuwa na bei nafuu zaidi na more recent technology.

Swali jingine, msaada plz:
Nikitu gani napaswa kufanya baada ya kuezeka (kupaua) na kabla ya kupiga plasta iwapo nina mpango wa kuweka Alarm systems (kengele) za Geti kubwa na CCTV Camers kwenye nyumba.
 
Mara nyingi alarm systems na cctv huwa zinawekwa baada ya kuwa ujenzi umekamilika , ikiwa kama unahitaji mabomba na waya visiwe vinaonekana basi tunaweza fanyia settings kabla hakujachapiwa plasta , hata hivyo siyo mabomba mengi au sehemu kubwa za nyaya zitakuwa zinaonekana , kwenye kupaua hakuna shida unaweza malizia tu
Kuhusu technology toa shaka tunajitahidi kuwa na vifaa vya kisasa na vyenye bei nzuri, tatizo technology linakuja na vifaa vya gharama kubwa camera tu inaweza fika laki 4
 
Nimekukubali mkuu. Siyo mijitu mingine inajiita mifanya biashara ukiliambia kuhusu kitu fulani linasema, "Watu wa huku hawavijui hivyo, kwanza ni wewe wa kwanza kuulizia".

Watu wanaweza kuwa wanahitaji huduma lakini hawajui kama wewe unayo.
Wanaweza kuwa wanataka pia kitu ambacho hawakihitaji.
Wanaweza kuwa wanahitaji kitu ama huduma wasiyoijua.
Umenikuna sana. Create awareness, Sensitize, toa solution, mobilize!.

Lakini pia mkuu wanaweza kuhitaji kitu ambacho hawana uwezo nacho. Hapo umejipangaje? ninafahamu unajua kile ninasema. Ni bidhaa muhimu lakini watu umewaelewesha, wamehamasika sasa wanahitaji kwa kila hali lakini fedha za kukupa hawana. Unafanyaje? Hata mimi itakuwa mteja wako.

Tuzungumze.

Lakini safi sana na hongera.

Asante sana ndugu kwa kunielewa . Kuhusu gharama ni kweli kuwa vifaa vingine ni bei ya kubwa sasa mara nyingi tunapenda kuongea na mteja na kumshauri ni vifaa gani vinafaa kwa ajili ya maswala ya usalama na ambavyo anaweza kumudu .
 
Kama unataka kuwa na soko endelevu, usifunge vichina china vya kufa siku mbili kwa sababu utabeba sifa ya mtengenezaji. Najua unaelewa na hutapenda wewe ndiye uwe labeled kama mchina hovyo.

Sina wivu na vijana kama ninyi. Kwanza unajiajiri na kutengeneza ajira, kisah unatoa huduma mbayo itaokoa watu wengi sana na mimi sifahamu utaokoa ndugu zangu wangapi huko, tatu utapunguza vibaka na kuboresha uadilifu katika maisha, nne, utafanya nguvu kazi ielekezwe katiak shughuli za uzalishaji kuliko usambazaji (wizi), Tano unachangia katika social transformation ambayo inapelekea kuwa na stable communities zenye ufahamu na kujiamini na sita unapunguza matumizi ya fedha za kigeni katika uagizaji madawa kwa serikali kwa kupunguza wagonjwa wa misongo ya mawazo na mashinikizo; n.k nk.

Sasa naomba uni pm, nikuongezeee maarifa. Bila shaka hutajuta na hutakuja kusahau maishani.
 
wenye majumba mbona mmekaa kimya?

Hivyo ni vitu auxilliary anavyotakiwa ku-install mpangaji kama anapenda. Nchi zingine hata floor, kuta, na vifaa vya umeme ni wajibu wa mpagaji (.. kila mpagaji ana taste anayopenda kwa hiyo wanaachiwa uhuru huo).
 
Inawezekana una gari lako zuri na unalolipenda na ungependa liendelee kudumu na kukuletea matokeo mazuri ukiwa barabarani basi sisi ISECURE technology tunakuletea tracking technology mpya yenye uwezo wa kugundu mapungufu/ugonjwa/matatizo ya gari lako .

Technology yetu itakusaidia kujua matatizo ya gari yako punde tu yatakapokuwa yanaanza ili uweze kabiliana nayo mapema kabla hayajawa makubwa, Faida ya kifaa hiki ni kuwa utaweza

i) Kujua ufanyaji kazi wa enjini ya gari lako na kama ina matatizo yoyote

ii) itakupa ripoti kama sensa katika gari lako litafanya kazi

iii) Utajua ufanyaji kazi wa gari lako.

iv) Itakusaidia kujua tatizo la gari na kulitibu kwa usahihi hivyo kupunguza gharama za mafundi vifaa na marekebisho yasiyo na lazima

v) jotoridi la gari, mafuta

Siku zote tunajitahidi kukupa huduma zaidi hivyo kifaa hiki kitakupa uwezo zaidi kama,

a) Kuweza kujua gari lako lilipo

b) Kuchagua ni eneo gani gari lako linaweza lifike au lisifike

c) Kujua kama gari lako limewashwa , limezimwa au kufunguliwa milango

d) Kujua matumizi ya mafuta ya gari lako na kama kuna wizi wa mafuta.

e) Kujua mtikisiko wowote ulilopata gari lako

f) kujua speed ya gari lako na mengineyo mengi

Nani anaweza weka tracking device hii

1. Mtu yoyote anayemiliki chombo cha usafiri hasa gari , iwe gari kubwa au dogo , pengine hata chombo kingine cha usafiri kama trekta, excavator , pikipiki

2. Kampuni yoyote au Makampuni yanayofanya bishara ya usafirishaji, kifaa hiki kitakusaidia katika utunzaji wa gari lako na kuzuia wizi wa mafuta

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0714890018
 
kwa huduma bora za vifaa vya usalama vya kisasa kama electric fence, cctv camera, Automatic gates, car tracking systems, Intruder alarms, fire alarms , Access control system tupigie 0714890018 .
 
Karibu ujipatie huduma zifuatazo kutoka isecure technology
  • CCTV camera systems repair and installation
  • Fire alarms systems repair and installation
  • Access control systems
  • Video intercom systems
  • Automatic gates. Repair and installation
  • Car tracking systems installation
  • Electric fence
  • Time attendance systems
 
cctv camera.jpg
 
Back
Top Bottom