Wadau natafuta nyumba/chumba na sebule katika manispaa ya Morogoro hasa maeneo ya Bigwa yote mpaka mwanzo Mgumu,Misongeni,Kola na nanenae au popote ndani ya manispaa ya Morogoro,kikubwa vyumba viwe na umeme na maji!mwenye taarifa naomba msaada wake tafadhali