Nyumba/vyumba vya kupanga Morogoro

Kapuku83

Senior Member
Sep 8, 2012
146
35
Wadau natafuta nyumba/chumba na sebule katika manispaa ya Morogoro hasa maeneo ya Bigwa yote mpaka mwanzo Mgumu,Misongeni,Kola na nanenae au popote ndani ya manispaa ya Morogoro,kikubwa vyumba viwe na umeme na maji!mwenye taarifa naomba msaada wake tafadhali
 
Tafuta dalali wakusaidie!

Asante mkuu!ngoja nijaribu kuulizia madalali wa maeneo husika,japo me ni mgeni sana na Morogoro!ndio maana nikahisi hapa Jf labda kuna wadau wanaoweza jua upatikanaji wake
 
Mtafute dalali yeyote then umwambie priorities zako.hawa madalali huwa wanakuwa na connection na madalali wenzao.Jaribu ths no 0718 840 780,065 180 796.Ila cha msingi uhakikishe unawaambia nini unachotaka na ustick hapo.Madalali huwa na tabia ya kufanya tofauti na matakwa ya mteja,lengo lao ni kupata pesa yako tu.
 
Asante sana mkuu,ila hii namba ya pili naona kuna tarakimu moja umesahau,nashukuru sana mkuu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom