Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,061
- 281
Ni Vizuri ungetuwekea Picha na Bei na Mazingira yanayoizunguka Nyumba kwa Ujumla.
Mjengo unasimama katika milioni 650....najiuliza kama TRA wanajua kama hapa napo ni wigo wa kodi & sio kila siku sigara na pombe......Mkuu fungua iyo link apo juu kuna kila k2 !!
nyumba yenyewe iko wp?