Nyumba Mpya Ya Ghorofa Moja Inauzwa Mbezi Beach.

Ni Vizuri ungetuwekea Picha na Bei na Mazingira yanayoizunguka Nyumba kwa Ujumla.
 
nyumba yenyewe iko wp?

Anaeuza (Kitomai) anadalalia tu,
Wewe nawe unataka udalalie kwa dalali,

Ndio maana hizi bei za akina Maige hazitakaa ziishe sababu ya madalali.

Watu tunafikia kupanga chumba kimoja mpaka kwa 150,000/- sababu ya uroho wa madalali.
Nyinyi ndio mnasababishia matatizo mpaka matajiri/wauzaji.

Mtu anaweza kuamua kuuza kitu kwa bei rahisi sababu ana shida but mnapandisha cha juu na kusababisha mali isiuzike haraka, matokeo yake mnamsababishia matatizo mwenye mali kusubiri mteja muda mrefu sababu ya bei kubwa!!

Mnauzi sana ndugu zangu,
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom