Nyumba inauzwa

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
.
Ipo Mbezi Shamba kwa mzungu pembezoni mwa barabra iendayo Mbezi Makabe. Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita 29 kwa 27 Ina vyumba vitatu vya kulala, masta na jiko. Haijakamilika. Bei shilingi 27 milioni. Kwa maelezo ya ziada piga simu 0717114409.
 

Attachments

  • DSC08676.JPG
    DSC08676.JPG
    31.7 KB · Views: 48

Similar Discussions

Back
Top Bottom