Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,061
- 281
Ipo Mbezi Shamba kwa mzungu pembezoni mwa barabra iendayo Mbezi Makabe. Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita 29 kwa 27. Ina vyumba vitatu vya kulala, masta na jiko. Haijakamilika. Bei shilingi 27 milioni. Kwa maelezo ya ziada piga simu 0717114409.