Nyumba inauzwa Sinza

wapi mombasa guest house au eneo gani pale? Mi mwenyeji sana wa maeneo yale. Na sijasikia mtu anauza nyumba! Please give us details tuelewe ni wapi isije ikawa ni biashara hewa.
 
Hahaaa sasa kaka we unataka kila nyumba inayouzwa usikie wewe kwanza? Ok unaijua pub moja inaitwa 4k? Then nyumba ya pili kutoka kwenye hiyo pub ni upande wa kulia ukiwa unatoka kituoni yaani oposite na geti la hiyo zahanati kuna njia inaingia mtaani unaifuata hiyo mpaka kwenye hako kapub ni kadogo and you take the first left
 
<br />
<br />
Naogopa mambo ya bongo dar es salaam. Kuna mtu wangu aliingia kichwa kichwa akauziwa hewa
 
Hahaaa sasa kaka we unataka kila nyumba inayouzwa usikie wewe kwanza? Ok unaijua pub moja inaitwa 4k? Then nyumba ya pili kutoka kwenye hiyo pub ni upande wa kulia ukiwa unatoka kituoni yaani oposite na geti la hiyo zahanati kuna njia inaingia mtaani unaifuata hiyo mpaka kwenye hako kapub ni kadogo and you take the first left
Mh kaka wengine ni madalali ndio maana wanaulizia kwa sana na usidhani wanataka kununua,kwa ninavyoijua Sinza hiyo tayari ni dili,du ngoja niende Miller bar nikapate supu ya pweza na Tusker Malt bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidi,dili tayari hiyo
 
230M is not a joke broda hizo m ni kwamba nanunua kiwanja na ninamuweka na contractor namlipa na chenchi inabaki dont tell me your serious...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom