Nyumba inauzwa Dar, Kitunda Kivule

doper

JF-Expert Member
Apr 12, 2014
311
148
Nyumba inauzwa, iko bambucha barabara ya kitunda kivule, inavyumba 4 vya kulala kimoja master, sitting room, dinning room, study room, jiko na vyoo vya public, inaumeme na imeezekwa kwa vigae, upande wa nje kuna eneo kubwa unaweza jenga nyumba nyingine kubwa, mawasiliano 0784358388 na 0766100653, mhusika mkuu, sio dalali, bei Tsh 200,000,000/= (Milion 200) majadiliano yapo
 

Attachments

  • 1436261049295.jpg
    1436261049295.jpg
    32 KB · Views: 512
  • 1436261093964.jpg
    1436261093964.jpg
    35.1 KB · Views: 477
  • 1436261109166.jpg
    1436261109166.jpg
    35.6 KB · Views: 470
  • 1436261129406.jpg
    1436261129406.jpg
    48.9 KB · Views: 458
  • 1436261145404.jpg
    1436261145404.jpg
    46.4 KB · Views: 461
  • 1436261166234.jpg
    1436261166234.jpg
    66.5 KB · Views: 456
  • 1436261194844.jpg
    1436261194844.jpg
    44.1 KB · Views: 443
Axante ndugu mkulima kwa ushauri, naufanyia kazi soon ntarekebisha
 
Pamoja na shillingi kushuka thamani hiyo nyumba haina thamani hiyo, tena Kivule?

Tiba
 
Kama thamani ya nyumba hiyo ni milioni 200 basi hatukuwa na sababu ya kushangaa Waziri Maige kumiliki nyumba ya milioni 800.
 
Mkuu hiyo bei ipo juu. kama upo serious PM unipe bei ninanahitaji nyumba

SP
 
200m njoo kinondoni upate nyumba yenye hati miundombinu yote ya kueleweka maji na sewage barabara za mitaa zinazopitika kipindi chote cha mwaka, usalama wa hali ya juu,
Ni kweli fedha yetu imeshuka thamani ila si kwa kiwango hicho au kama ni we ni dalali unaeka cha juu weka amount resonable
 
miliono 200 hata mbezi beach na mikocheni unapata nyumba. amini usiamini. hicho kibanda hat amilioni 100 hapati mteja.
 
Msikatishe watu tamaa ya maisha mana kwa mtu ambaye hajui chochote kuhusi ujenzi na nyumba kwa ujumla then akaiona hiyo semi-finished house kwa 200 m serious hawezi hata kuwaza kujenga achilia mbali kununua kiwanja ndo mana vijana wakipata hela wanaogopa hata kuuliza bei ya viwanja wanaishia kwenye alteza tu mana imagine unamwambia kiwanjia 75m mingoi kama muuzaji mmoja juu hapa na hap ana 10m option rahisi ni gari huku anasubir kudra za mwenyezi mungu wakat viwanja vya milion 4 kibao chanika huko
 
miliono 200 hata mbezi beach na mikocheni unapata nyumba. amini usiamini. hicho kibanda hat amilioni 100 hapati mteja.

Mkuu kuna watu sijui akili zao wanaziweka wap wakati wanaandika hivi vitu not in a bad way ila they have to be considerate na kujua bei ya soko ya hicho wanachouza sio kukurupuka na kuandika bei zisizoeleweka fanya research kwamza then utajua
 
Nyumba inauzwa Chanika Tshs. Mil 70. Ipo ndani ya kiwanja cha Medium size, Ina master bedroom 1, sub master 1, vyumba vya kawaida 2, common toilet, sitting room and dinning, stoo na jiko. Nje ina garage, mabanda ya kuku na mbwa, jiko, stoo na choo cha nje, pia ina wigo wa ukuta. Ina hati zote

Mawasiliano: 0654060250
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom