Nyumba inapangishwa Kijitonyama, Tshs 300,000/- p.m.

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,156
Wadau,
Kuna mdada kaniomba nimsaidie kumpigia Promo nyumba yake iliyoko Kijitonyama, karib na chuo cha Ustawi wa jamii au Grandvilla Hotel.

Nyumba ina vyumba viwili vya kulala, kimoja master, sebule 1 na jiko. Na ni upande unaojitegemea uliopo ndani ya Fence yenye Nyumba mbili.

Parking ipo ya kutosha labda gari 3 na maji yakikatika ujue ni serious problem from dawasco.

Kodi inaanzia laki 3 p.m but maongezi yapo.Kwa muhitaji waweza kucheki na mdada mwenyenyumba thru 0718 944 979
 
Vipi tunaweza hata kupata picha ya nyumbani yenyewe?

Mkuu,
Nilipita hapo Jana jioni ndio akanipa hii issue,
Bahati mbaya nipo Zanzibar mpaka Jumatano.
 
Mkuu,
Nilipita hapo Jana jioni ndio akanipa hii issue,
Bahati mbaya nipo Zanzibar mpaka Jumatano.

Nipe e-mail yake asee, maana najaribu kupiga simu haziendi tangu jana usiku, sijui mitandao tanzania ina matatizo gani.
Fanya fasta mkuu.. !!
 
Nipe e-mail yake asee, maana najaribu kupiga simu haziendi tangu jana usiku, sijui mitandao tanzania ina matatizo gani.
Fanya fasta mkuu.. !!
OK, labda Pia useme na huyu mume wa huyo dada,
Namba 0718 376 614
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom