Nyumba inapangishwa ipo Mbezi Luisi njia ya Mpiji Magoe

Mhache

JF-Expert Member
Jun 20, 2008
345
24
Kuna nyumba ya kupanga ipo kama kilomita mbili na nusu kutoka Morogoro Road, Mbezi Luis/ au kwa yusufu kuelekea mpiji magoe. Nyumba yenyewe in Chumba kimoja cha kulala, sebule, jiko na stoo. Choo kiko nje. Kwa mawasiliano 0754383416
 
Hehehehe mkuu weka bei sasa ili utwangiwe maana naweza kumaliza kavocha kangu kumbe chumba kinapangishwa 150,000/= na umbali wote huo.
 
Sio nyumba hii bana, ni chumba
Nimekubali si nyumba ni chumba. Lakini kuna tofauti kati ya chumba na nyumba. Unachosema ni chumba ninapangisha ni underground.
 
Sio nyumba ni kbanda. Kama kina uwanja mkubwa niuzie.
Nimekubali ni kibanda. Uwanja ni mkubwa na ina gorofa moja juu. Inayopangishwa ni kibanda cha chini unacokiita ni underground. Kama upo tiari kununua kwa nini usijenge ya kwako.
 
Nimekubali ni kibanda. Uwanja ni mkubwa na ina gorofa moja juu. Inayopangishwa ni kibanda cha chini unacokiita ni underground. Kama upo tiari kununua kwa nini usijenge ya kwako.

Hii kali!! Kujenga na kununua ni vitu viwili tofauti ndugu.
 
Nimekubali ni kibanda. Uwanja ni mkubwa na ina gorofa moja juu. Inayopangishwa ni kibanda cha chini unacokiita ni underground. Kama upo tiari kununua kwa nini usijenge ya kwako.

mi nadhani unatafuta Mlinzi wa jengo lako ambalo halijaisha bado, kitu kingine usiwe mkali kwenye haya mambo ya biashara
 
Nimekubali ni kibanda. Uwanja ni mkubwa na ina gorofa moja juu. Inayopangishwa ni kibanda cha chini unacokiita ni underground. Kama upo tiari kununua kwa nini usijenge ya kwako.

Usiwe mkali ndugu...jaribu kutoa maelezo kadri iwezekanavyo na picha pia.Wakati mwingine ni faida zaidi kuuza property kuliko kupangisha.

Sasa huko juu orofani unakaa wewe mwenyewe,au mpangaji mwingine au bado ni pagale?

Tufafanulie vizuri ndugu
 
iwe chumba au nyumba hamna tatizo, ila unapotangaza bidhaa lazima bei iwe wazi, ili mtu ajipime kama ataweza kumanage au la.
 
Back
Top Bottom