Nyumba inahitajika

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
1,407
159
Jamani naombeni msaada wenu wa hali na mali, ni nahitaji nyumba ya haraka iwezekanavyo ndani ya wiki hii. Iwe maeneo ya sinza ,kijitonyama,mwenge ,mbezi beach tegeta ubungo.. Iwe na vyumba viwili na sehemu ya park ya gari.Bei isizidi tsh 250,000 laki mbili na nusu nitalipia kwa mwaka mzima....

Ndugu zangu niko kwenye wakati mgumu sana, kwa sasa nipo hotelini kwa wiki ya pili sasa nitashukuru sana kwa mtakao nisaidia kufanikisha jambo ili.
 
Ulisema hutachangia JF nakuahidi post zako zifutwe naona unajileta kimya kimya.
Hahahaha pole umepewa notice na mwenye nyumba lazima atakuwa mwana JF huyo endelea kukaa hotel napo pazuri tu.
 
Ulisema hutachangia JF nakuahidi post zako zifutwe naona unajileta kimya kimya.
Hahahaha pole umepewa notice na mwenye nyumba lazima atakuwa mwana JF huyo endelea kukaa hotel napo pazuri tu.

Najua unifurahi sana ulipo sikia nang'atuka JF ili umrith Maria rosa ime kula kwako mpwa! Sasa mpwa nifsnyie mpango basi angalau nipate makazi maana nimeishiwa hadi naenda kula kwa mamalishe mtaani.
 
Back
Top Bottom