Nyumba 2 zilizo eneo moja zinauzwa

Kariba1

Member
Aug 20, 2012
75
4
Khabari wanajamii! kuna nyumba mbili zilizo eneo moja zinauzwa nyumba zina vyumba 5 kila moja, sebule na kolido. maji na umeme vipo nyumba zipo kwenye eneo lenye ukubwa wa nusu heka, zipo tegeta kibaoni upande wa kushoto barabara iendayo wazo kabla ya kituo cha msikitini eneo ni zuri kwa makazi na biashara kama kupangisha, bar, guest nk bie yake ni ml 160 kwa mhitaji wasiliana na mudy 0714107215
 

Attachments

  • IMG0041A.jpg
    IMG0041A.jpg
    13.7 KB · Views: 78
  • IMG0042A.jpg
    IMG0042A.jpg
    13 KB · Views: 76

Similar Discussions

Back
Top Bottom