Ummy Shahuluru
Member
- Aug 30, 2018
- 89
- 88
Shetani mbaya sanasasa hapa huwa ni huyuhuyu shetani ndio kisababishi au?
Shetani mbaya sanasasa hapa huwa ni huyuhuyu shetani ndio kisababishi au?
hahahaShetani mbaya sana
Hata huko sekondari sijawahi kwenda ndugu yangu pengine hilo nalo ni tatizoHivi wewe Elimu ya sekondari ulisoma kipindi cha madaraja ya division au GPA?
maana huelewi kabisa mada iliyopo mezani
wewe ni "ke"swali jepesi sana hili,hebu uliza lingine
mwalimu, mwalimu, mwalimu ... sasa cha kustaajabu kuna wengine wanafanyiwa yote haya na bado wanachepukaMkishatuweka ndani mnaona ndio mmemaliza kila kitu.
Hamjali tena kuturidhisha kama kipindi cha kabla hamjatuoa.
Wakati mwingine hamna hata muda wa kutuandaa panapo 6*6.
Kwa kifupi mnasahau mapenzi na kuturidhisha.
Mnategemea nini?
โโHivi wanaume kwanini mkioa tuu mnakuwa wazembe kitandani?
Ndio kwamba mmeshaizoea papuchi au? Au ni nguvu za kiume huwa zinaisha?
wana sababu mkuu, usiwasemee ..ngoja wajeKuchepuka ni tabia ya mtu tuu
Full stop
bado wanachungulia kwa mbali mkuu.Mbona siwaoni au bado wapo jikoni
duuhHata huko sekondari sijawahi kwenda ndugu yangu pengine hilo nalo ni tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwasemei mkuu.. Ila ndo uharisia huo sema Zurie kafafanua vizuri sanawana sababu mkuu, usiwasemee ..ngoja waje
Labda kama anafuata hela.mwalimu, mwalimu, mwalimu ... sasa cha kustaajabu kuna wengine wanafanyiwa yote haya na bado wanachepuka
Tunawaza zaidi maisha yenu ya uzeeni muishi kwa amani bila stress za maisha kwa kutafuta pesa kwa nguvu saaaaana.....but mbona weekend huwa twawapasua sana mpka mwaridhika au ndo mwataka kila sikuHivi wanaume kwanini mkioa tuu mnakuwa wazembe kitandani?
Ndio kwamba mmeshaizoea papuchi au? Au ni nguvu za kiume huwa zinaisha?
Duuh kumbe ndo ilivyo...Labda kama anafuata hela.
Ila amini usiamini, wanaume mkishaoa mnakuwa wazembe sana. Ndiyo maana mtu haoni tabu kumpa "bodaboda" wake amtoe hamu.
Unakuta mtu unarudi nyumbani unafanyiwa mitego yote lakini wapi. Muda wa kumwandaa mpenzi wako hauna unajidai umechoka. Mwanamke mpaka akuanze wewe ndio mgegedane. Akikausha na wewe unajidai umekausha. Madai umechoka. Hivi wanaume siku hizi mbona mnaogopa papuchi sana? Yaani mmekuwa na tabia za kuogopa kugegedana mtadhani wale mabinti ambao bado ni bikra.
Ukijitahidi sana, kagoli kamoja ndani ya dakk 3๐๐๐๐๐.
Mnijibu Leo, huwa mnaishiwa nguvu za kiume? Au mnakuwa mmeizoea papuchi?
Kwahiyo mpo busy kuandaa mafao ya uzeeni.Tunawaza zaidi maisha yenu ya uzeeni muishi kwa amani bila stress za maisha kwa kutafuta pesa kwa nguvu saaaaana.....but mbona weekend huwa twawapasua sana mpka mwaridhika au ndo mwataka kila siku
sasa mwalimu, mimi wangu kwa sasa ndio hapendi kabisa ngono yaani mpaka nimlazimishe na hanipi ushirikiano hata nimuandae vipi, najipigia tu kama napumb maji nikimaliza natulia.. naye analalamika kwamba napenda kugegeda sanaLabda kama anafuata hela.