Nyota yako imeibwa lakini ulitakiwa utembelee VX

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,653
20,987
Huwa namkubali sana Daniel Mgogo.
**********

“Mna akili nyingi. Wanawakamataje? Unaambia ulete KSh 100k tuirudishe nyota yako ambayo ulikuwa hujaiona,” Tanzanian preacher Daniel Mgogo says, insists some preachers dupe Christians who don’t interrogate their statements.

“Unarudisha nyota hewa. Eti umeibiwa V8. Ilikuwepo kwenye ulimwengu wa kiroho. Nitarudisha nyota yako. Utafikiri unaifahamu hiyo nyota inakaa upande gani. Nyota yenyewe hujawahi kuiona, hata hujui kama uko nayo. Umeibiwaje nyota ya V8 na hata kagari kadogo huna? Watu wanajua kucheza na saikolojia yako ili wakuibie,” the preacher explained.

Photo: Daniel Mgogo

IMG_20230805_063144_625.jpg
 
Wanadamu tumeumbwa na tamaa,ndicho kinachotuponza lakini ilisha tamkwa kitambo!

Mt 21:13​

"Akawaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala; bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi."
 
Wanadamu tumeumbwa na tamaa,ndicho kinachotuponza lakini ilisha tamkwa kitambo!

Mt 21:13​

"Akawaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala; bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi."
Toa solution tufanyeje sasa..
 
Back
Top Bottom