Nyota wa zamani wa Yanga afungua kijiwe cha mishkaki

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,235
103,879
39CA7E5C-00AD-414E-A8E7-49B59182FCB1.jpeg


Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Singida United Kipanya Malapa amefungua biashara ya mishikaki na kachori maeneo ya nyumbani kwao Buguruni.

Kipanya anamshukuru sana mchezaji mwenzie wa Yanga Said Maulidi Kalikula kwa kumuunga mkono na kuomba wadau wengi wapite maeneo ya Buguruni Kona kupata huduma ya mishikaki laini na kachori.

My Take
Feisal komaa mdogo wangu. Wewe sio wa kula ugali chumvi
 
Back
Top Bottom