Mbona hiyo nyongeza iko poa tu.Kwa mfano kama mimi mshahara wangu wa 5M nyongeza hapo ni sh laki 4 na pesa kadhaa. Vijana fanyeni kazi na acheni kushinda ofisini mkiangalia fb na Jf halaf mnadai mshahara mkubwa.Kwa kazi ipi uliyoifanya?
wewe ukiona ongezeko ni dongo huwa kunanjia nyingi za kuongeza kipato ikiwa ni pamoja na kuwa na miradi kadhaa amabayo itakuongezea kipato.
naona unalalamika tu, hujasema ilitakiwa iongezwe asilinia ngapi, na kwanini?... Bavicha bwanandugu wana jf habari zenu,
nimekuja tena kuwajuza namna serikali ya ccm inavohujumu wafanyakazi wake na hasa walimu,ni hivi majuzi tu walimu waligoma na kupelekea wanafunzi kuhaha huku na kule wakihitaji kupaza sauti zao na hasa wale wa msingi na hata kufika kupeleka lawama kwa serikali kuwa iwalipe walimu kile wanachodai.
Lakini mbaya zaidi serikali ilikimbilia mahakamani na kuitumia hiyo kama kura turufu dhidi ya walimu na hapohapo walimu wakamuuliwa na mahakama kurudi kazini haraka na mezani kujadili madai yao.
Ni kama sikio la kufa halisikii dawa,haki ya mumgu huwezi amini....leo nikiwa ofisi za afisa utumishi.....amenipatia waraka wa nyongeza ya mshahara wa 2013/2014 ukiwa umeonesha dhuluma kubwa sana kwa watumishi wa serikali yetu na kwa hili hatutakaa kimya na tutadai hadi kukuche na ikibidi kuwatoa madarakani,bora tufe huku tumesimama.nyongeza ni 8.4% kwa watumishi wote.tujadili;
1.hivi kweli kwa mfumuko huu wa bei na ongezeko la kodi lilivokubwa hivi hawa wafanyakazi wataacha ufisadi na kutokukaa maofisini?
2.big result now[brn] je itafanikiwa ktk wizara hizi nne ambazo ni elimu,miundo mbinu,kilimo na uchukuzi?
3.hawa walimu hivi kweli watapata moyo tena wa kazi na ikizingatiwa waligoma kudai maslahi yao hadi serikali kwenda mahakamani na kuweka zuio?
4.kwa mfano mimi mwalimu mwenye ngazi ya mshahara ya tgts-d1 inamaana ntakuwa nachukua mkononi 447,654 wakati basic ni 586,789 na mimi ndo muhitimu wa chuo kikuu yani nina shahada,sasa ni kweli ccm wanajali watumishi wa umma na hasa walimu
Mbona hiyo nyongeza iko poa tu.Kwa mfano kama mimi mshahara wangu wa 5M nyongeza hapo ni sh laki 4 na pesa kadhaa. Vijana fanyeni kazi na acheni kushinda ofisini mkiangalia fb na Jf halaf mnadai mshahara mkubwa.Kwa kazi ipi uliyoifanya?
mkuu usishangae sana. hizo ndo akili za bavicha. bora afe tu maana hana msaada wowote kwa taifa hili. hata wakiingia darasani walimu wa aina hii wanafundisha utumbo tu. angekuwa mwalimu mzuri kama mwalimu wangu Masebo aka baba frank nafikiri kila shule wangemgombania. maana kuna shule kibao za private lakini anashindwa kuchukuliwa huko maana wanajua ni galasa
wewe ukiona ongezeko ni dongo huwa kunanjia nyingi za kuongeza kipato ikiwa ni pamoja na kuwa na miradi kadhaa amabayo itakuongezea kipato.
Thus unataka wafanyakazi wote wawe wafanyabiashara na wachuuzi na je Ni saa ngapi watakuwa commited na kazi? Je, wafanyabiashara wageuke ndo wafanyakazi wa nchi hii? think twice plz
mkuu wanakupumulia uchogoni nini?kama hayakuhusu pita mbali si lazima utoe maonimods, ondoa huu upuuzi, hatuwezi kuendelea kujadili upuuzi humu
mamamayo mnaleta dharau kwa walimu,subirini matokeo ya watoto wenu tena 2013,
anaeumia ni mtoto na ndugu yako mana mwalimu ashampeleka mwanae shule za kanisa