Nyoka amtimua naibu wazir mwanri kanisani!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Katika hali ya kuhakikisha madhabahu mengine sio ya kuvamia na dhambi zenu
naibu waziri ofisi ya waziri mku ametolewa resi na kutimua mbio kunusuru maisha yake
na waumini wa kanisa la kkt dayosisi ya kaskaziniusharika wa sanya juu mtaa wa kilingi

hali hiyo ilitokea baada ya nyoka kutoka kusikojulikana na kuingia kanisani moja kwa m oja
kwenye meza ya mh mwanri huku akijianda kutema sumu na mh mwanri akijandaa kusoma hotuba
huku amesimama...kwa ajili ya kuanza harambee ya kanisa hilo

tukio hilo liliongozwa na askofu wa dayosisi ya kaskazini dk martin shao,,ambae aliweka
jiwe la msingi...
Mwanri aliekuwa mgen rasmi kwa ajili ya harambee hiyo..akiwa na mkewe meza kuu alishangaza waumini
alipoamua kutimua mbio m,ikono juu huku akimwacha mkewe na kusema shetani ushindwe kwa jina la yesu


kutokana na tukio hilo waumini walikimbizana na joka hilo mpaka ambalo lilipotoka nje gafla awakuliona tena na kaucha simulizi kanisani... Huku askofu akiomba utulivu
ibada iendelee na huku mh mwanri akiwa nje kuulizia nini kimetokea ,,,mbona nyoka ametokea meza\yangu
wote huku nyuma awajamwona aisee hii dunia chafu sana alilalama mh mwanri...

Awali mgeni rasmi alikuwa waziri mkuu wa zamani mh lowassa kutokana na kubanwa alishindwa kufika
gazeti hili lilikuwepo kushuhudia mh mwanri akitimua mbio huku akisema washindwe kwa jina la yesu washindwe nasema shetani ushindwe kwa jina la yesu huku wageni wengine wakitimua mbio kujiokoa

akizungumza na gzeti hili mh mwanri amesema tukio hili la kustaajabisha ajawahi kuliona toka azaliwe
kwani nyoka huyo alipita nyuma ya watu wote kwenye meza akaja kwangu kwa mbele aliposimamisha kichwa k utema mate mungu akanionyesha nikashtuka nikaanza mbio...inashangaza sana bado hata usiku ntkaa na mke wangu tujiulize iweje limefika hapo mbele yangu watu wasilione lilipotokea nyuma...mi sielewi ndug yangu haya mambo dunia imekuwa chafu sana sasa hivi
 
hahahah naunga mkono watokee kama hao hao bungeni wawakungute mafisadi wote
kumbe mohsi tunaweza kwann tushindwe kuwatuma bungeni???
 
watokee kwenye meza ya bi.kiroboto!!
Cjui atatoa muongozo kabla ajatoka nduki au??
 
anataka kuwapa watu ubaya,
Amekiuka masharti aliyopewa na songoma wake asitake kujisafisha kwa kuwachafua wengine!
 
Doo. Hii ni kali ya mwaka.
Ujasiri wote ule Mwanri amekimbia nyoka?
 
pamoja na kwamba jambo hili ni la kusikitisha, tuna maswali ya kujiuliza baada ya kujuzwa kwamba Mwanri alikimbia kutoka nje ya kanisa akisema washindwe kwa jina la Yesu. Yeye Mwanri alichofuata kanisani ni nini? Maana kama amemfuata Mungu(Yesu) pale iweje tena kutoka nje ya kanisa mbio akimwita Yesu, kwani alikotoka ndiko alikokuwa amemwacha Yesu na wala sii kanisani alikokwenda? Pole mh Mwanri mambo mengine yanahitaji ujasiri wa ziada ambao kwa kawaida unatengenezwa na maisha ya haki ya mhusika. Mwisho nijaribu kuwauliza wana JF, kama ni wewe yamekutokea haya ungefanya je? Ungeshikilia imani yako katika kumwamini Mungu kukunusuru na jambo hili ama ungeenda kwa wataalamu kuulizia kulikoni? Jawabu la suali hili naomba litoke katika uhalisia wa maisha binafsi ya kila mtu.
.
 
Back
Top Bottom