Nyimbo za X-Mass

The dream

JF-Expert Member
May 10, 2015
999
994
Habari wana jamvi

Ifikapo tarehe 25 ya mwezi huu wa Dec sehemu nyingi Duniani tutakua tunasheherekea sikukuu ya kuzaliwa kwa YESU kristo kwa wale wa madhehebu ya kikiristo.
Siku hii hujulikana maarufu kama KRISIMASI(Christmass day)

Kuelekea siku hii hua kunakua na nyimbo maalumu kwa ajili ya kujiburudisha, kuabudu na kusheherekea.

Karibuni tupeane nyimbo ambazo tunapenda kuzisikiliza tunapoelekea siku hii.

Mimi napenda sana wimbo huu wa Boney M

Mary`s Boy Child
 
usipende kuandika x-mass maana yake hakuna christmass hii nitatizo kwa waumin wa din fulan
 
Jamani waungwana nautafuta sana wimbo X mass siujui jina, ninachofahamu ni kwamba unamaneno kama ifuatavyo

happy xmass iyoo iyoo
happu new year iyoo iyoo
1,2,3,4,5,6,7,8,9..........
a,b,c,d,e,f,g,h,i,j,k,l..........
happy xmass iyoo iyoo
happy new year iyoo iyooo

tafadhali mwenye kuujua jina au link au anishushie hapa niunyonye niburudike msimu huu wa xmass
naawasilisha

cc Gang Chomba
 
Kama kuna mtu anahitaji nyimbo za Krismasi au album yeyote yenye nyimbo za Krismasi namkaribisha PM
 
Back
Top Bottom