Nyie wanawake si mmeuchuna mwezi huu kisa ramadhani sasa mtajua wapi mtaitolea pesa ya Abaya

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,704
5,480
Tukiwatafua hata kwa salamu tu si mnasingizia Ramadhani, bado siku chache tu 😀

D80E8DE6-9DEE-4B2B-AFE1-8E8E176BA4AB.jpeg
 
Picha ndo linaanza, Moja ya Gaidi aloua watu Urus, Akikatwa SIKIO alafu anawekewa mdomoni alitafune ..ndo kwanza trela🤩
 
Back
Top Bottom