Nyie mnaoenda kwa Waganga na kwa manabii , ili mtoboe niwaambie hamna kitu Mtapata .

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,132
45,932
Tangu nijunge JF the home of Great thinkers wenye fikra pana .

Niseme tu tunahitaji mikakati kuondoa dhana kuwa umasikini Ni laana .ili watu wasiende kutafta upako kwa manabii fake na kuroga .

Mimi nataka niseme kuwa umasikini tumerithi Kama watu wengine wanavyorithi utajiri
Wazazi Fahamu mapema hilo tusitafute lawama
 
Ila umasikini sio kitu Cha kujivunia.
Tunatakiwa kupigana na umasikini kwa nguvu zote.
 
Kwamba hamna pesa za chumaulete? Za majini? Za freemason?
Wanapata sana, sema na wao wanakipata.
Illusion
Watu wenye Malengo ndo wataendelea kumiliki uchumi
Nikienda kusoma Nje PhD moja ya thesis yangu itajikita kuondoa dhana ya kusema umasikini ni laana
 
Tangu nijunge JF the home of Great thinkers wenye fikra pana .

Niseme tu tunahitaji mikakati kuondoa dhana kuwa umasikini Ni laana .ili watu wasiende kutafta upako kwa manabii fake na kuroga .

Mimi nataka niseme kuwa umasikini tumerithi Kama watu wengine wanavyorithi utajiri
Wazazi Fahamu mapema hilo tusitafute lawama

Dini na imani ni njia ya kumtafuta Mungu

Na neno la Mungu ndio linatufundisha njia za kufuata ili kupata utajiri na kutukataza makosa ambayo tukiyafanya tutaishi kwenye hali ngumu

Wacha watu wamtafute Mungu ili wajue kuishi kwenye mapenzi ya Mungu wapate baraka zosizochangamana na huzuni
 
IMG_4408.jpg
 
Sawa Mtumishi
 
Wajinga wanasema eti maji hufuata mkondo/
ni kauli ya kifala/
Wajanja tunaita uongo/

In madee voice..
 
Umasikini hauondolewi kwa kukaa darasani tu.
Umasikini ni upeo Mdogo kuhusu kuona fursa katika mazingira yako na kuzigeuza kuwa pesa.
 
Kwa manabii siyo ila kwa waganga wanapata tena sana. Utajaza gunia la noti za wekundu wa msimbazi ila tu masharti yanakuhusu tena ya aibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom