nadhani anatembea nayo, hebui maginegharama za kwenda hadi Rufiji na timu nzima kuzindua nyumba 14 tu!!!! jinsi fedha ya walipa kodi inavyoteketea..........MAMBO MANGAPI YA MAENDELEO YANGWEZA KUFANYIKA........Hatuhitaji hiki cheo! Mzee wa mikasi huyu naye
Katiba Mpya ndio Jibu.....................Kwa sasa umuhimu wake ni kupoza machungu ya kuukosa Urais wa ZanzibarHivi jamani cheo cha makamu wa rais kina umuhimu gani? yaani kazi yake kubwa ni kuzindua tuuuu! Sasa hiyo PhD ya nuclear science ina faida gani sasa?