Nyerere, Mwinyi na Mkapa walipewa udaktari wa heshima lakini hawakutumia kunani hawa wanaoutumia?

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,720
Ni kawaida kwa marais wa Kiafrika kupewa udaktari wa heshima japo ni nadra kwa marais wa nchi za magharibi. ingawa rais Barak Obama anaweza kuvunja rekodi ya kuzipokea lakini asijiite dokta hata mara moja.

Je, ni kwanini? Je ni ile hali ya kutaka sifa, kutojiamini, kupenda ujiko bila kuusotea au je tutajuaje kama wahusika wananunua shahada husika? Je anapopewa shahada ya heshima rais ni mali yake au mali ya nchi?

Je, ilikuwaje mfano, Jakaya Kikwete akajiita daktari wakati hata master's hana? Je na Samia naye atakuwa limbukeni kama Kikwete aridhike na kuitwa daktari wakati hana hata shahada moja inayotambulika aliyoipata kihalali? Je ilikuwaje wasomi bobezi kama Nyerere na Mkapa hawakutumia shahada nyingi za heshima za uzamivu walizopewa? Naomba kutoa hoja.
 
... Ulaya na Marekani vumbuzi zilishaisha; hawana mapya ya kuvumbua ya kuwapatia PhD's.

Afrika ya kuvumbua bado mengi sana so tegemea a lot of PhD's from that side.
 
Ni kawaida kwa marais wa Kiafrika kupewa udaktari wa heshima japo ni nadra kwa marais wa nchi za magharibi. ingawa rais Barak Obama anaweza kuvunja rekodi ya kuzipokea lakini asijiite dokta hata mara moja.

Je, ni kwanini? Je ni ile hali ya kutaka sifa, kutojiamini, kupenda ujiko bila kuusotea au je tutajuaje kama wahusika wananunua shahada husika? Je anapopewa shahada ya heshima rais ni mali yake au mali ya nchi?

Je, ilikuwaje mfano, Jakaya Kikwete akajiita daktari wakati hata master's hana? Je na Samia naye atakuwa limbukeni kama Kikwete aridhike na kuitwa daktari wakati hana hata shahada moja inayotambulika aliyoipata kihalali? Je ilikuwaje wasomi bobezi kama Nyerere na Mkapa hawakutumia shahada nyingi za heshima za uzamivu walizopewa? Naomba kutoa hoja.
Kabla ya Kuwalaumu Kutumia Au Kutotumia Ingependeza Utujulishe Nini hasa kusudio la Kuwatunuku Ili iweje Ili Baada ya Kuwatunuku waweje ,au wafanyeje namaanisha Hivi
Kuwaita au kutowaita

Nikiwa na Maana Inawezekana Badala ya Kuwalaumu Kwa kulitumia neno Dr,
Pengine Tulipaswa kuwapongeza Kwakuwa Wameitendea haki Thamani ya tunu waliyotunukiwa

Au Pengine Hao wasiotumia Uliowaorodhesha Inawezekana hawakuitendea haki Thamani waliyopewa

Nirudie Tena Tupeni Maana halisi au kusudio halisi la Hiyo tunu ya Udaktari Baada ya kupewa Ili wafanyeje

Au wakitumia tunafaidikaje au tunakosa Nini na wasipotumia tunapata au tunakosa Nini.

Na Kwa Maelezo Yako inavyoonyesha Kuwa si Vizuri Kuzitumia Kwakuwa sio Udaktari wa kusomea
Kwa Maana PhD ya darasani ni Kitu kikubwa Sana.

Huu Udaktari wa heshima ni Kitu ambacho Hakina maana sana au ni Kitu kikubwa sana tofauti na Watu hao waliotunukiwa

Kwamba kama wanapewa Bila stahili au Kwa upendeleo Fulani tu au Hawana mchango unaostahili katika jamii Hivyo hawakipaswa kutunukiwa au Hata Kutumia hawakustahili.

Katika Hili nastahili kuelimishwa.
 
Shukrani. Kwa lugha nyepesi, kama hujasomea udaktari hupaswi kujiita daktari. Huu ni utapeli sawa na mapadri wasio na watoto kujiita father. Whom have they fathered? Maybe, just maybe, those they furthered immorally through adultery, fornication and rape as it has recently came to the fore.
 
Back
Top Bottom