Mnyonge Namba1
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 402
- 81
Wenzetu wa Malawi waliweza kumuondolea pensheni rais mstaafu kwa kushiriki siasa akiwa mstaafu.
Watanzania bana!
Katiba mpya itabidi ieleze wazi kuwa kiongozi akistaafu,marufuku kujihusisha na siasa.Badala yake ajikite kwenye mambo ya kijamii ya kitaifa na kimataifa,au akae kimya kabisa amalizie maisha yake kwa amani na utulivu.