Nyarony Kicheere ashangaa kwanini hakuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya

Heh heh hata Kibonde naye anashangaa,siku hizi UDC ni wa waandishi wa habari hadi ma misheni town,mwambieni Kicheere akamuone Ritz 1 ili amwambie mshua
 
Mwandishi wa habari nyaronyoooo kicheere ashangaa rais kutomchagua katika nafasi ya Ukuu wa wilaya
hujamwelewa. Anajoke, amesema walioteuliwa si kwa ubora ktk uandishi bali kwa kujikomba. Anabeza kazi za dc kuwa kila anaziweza. Weka makala yake, si kwa kupotosha out of context
 
:lol:nyaronyo hashangai kutoteuliwa mkuu wa wilaya bali ametumia makala hayo kueleza kuwa wanaoteuliwa ukuu wa wilaya ni wale wanaojikomba. pia ameeleza kuwa mbinu ya kuwahonga wandishi wa habari na vyeo hasa ukuu wa wilaya itasababisha wandishi sasa washindane kuandika habari za kuwasifia wakubwa serikalini na katika ccm na hivyo kupoteza kabisa maana ya uandishi wa habari. ili kumwelewa vizuri nyaronyo kicheere tafadhali weka makala yake nzima hapa wote tuisome kuona kama umemwelewa vizuri. hebu rudia kaisome vizuri ili umwelewe. kwanza nyaronyo ni chadema angeteuliwaje kuwa mkuu wa wilaya katika serikali ya magamba?:lol:
 
hivi kuwa bora na unayefaa katika nyadhifa mbalimbali lazima kuwa chadema ? basi kazi kweli kweli
 
Mtoa mada hukumwelewa Nyaronyo. Isome vizuri makala yake, na uiweke humu watu waisome wakusaidie kukufafanulia. Hata hivyo Nyaronyo si kilaza kama hao waandishi waliopewa udc, ni mchambuzi aliyebobea, Mwalimu na pia mwanasheria. Soma vizuri kuepuka kukurupuka.
 
Back
Top Bottom