Nyani Ngabu na Yo Yo enzi zao...

Status
Not open for further replies.

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
333evlc.jpg


Hapo juu ni Yo Yo akiwa kwenye pozi la picha.

Chini ni Nyani Ngabu (katikati) akiwa kwenye pozi la picha.

20z8uvt.jpg
 
Teh teh teh NN alibeba radio kabisa kwenda nayo kufotoa picha. Yaonekana ratiba ya picha ilipangwa mwezi mmoja kabla
 
Inaonekana Yo Yo alikuwa kiwembe sana kwa mabinti cheki hizo swagga. Ila huo mkoba si ni wa daftari Yo Yo?
 
Ebwaanaee unanikumbusha mbali sana, hii miaka ulikuwa hupigi picha bila kwenda studio, na kwa taarifa yako huenda huo mziki picha ya pili uliwekwa studio maalumu kwa ajiri ya kupigia picha maana ilikuwa ni nadra sana kumiliki mashine kama hiyo.
 
Yoyo hapo alikosa 'raizon', bei yake ilikuwa shs 220 (mia mbili sihirini) enzi hizo, na hapo ka shaini ile mbaya.
 
Ndala ya Umoja ndo inatamba sana hapo!...Mtu ni lazima aonyeshe saa mkononi!...huh!
 
Walau nimecheka,hiyo pochi aliyobeba YoYo ziku hizi zipo kwenye fashion,NN naona alitoka kuuza Pamba akajinunulia redio mkulima.hahaha,mbavu zangu mie
 
Yaani umenikumbusha mbali sanaaa.Hiyo redio kasetti ilikuwa ni panasonic ya ukweli bendi nne nafiki ilikuwa miaka ya 79 na 80 hivi ndo zilitoka na hizo saa ni Omax au Moritima na hazitumii betri ni unatumia ufungua kuchargi.Huo mkoba wa YO YO nakumbua unaitwa Gimtex..lol na pia YO YO kavaa suruali mtindo wa bugalooo...hapa alitakiwa avae na lazoni ngazi sita hapo mabo siyo mchezo...Nimekubaliiiii watu mnakumbukumbu balaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom