Nyani Ngabu na Yo Yo enzi zao...

Status
Not open for further replies.
Duh hizo nguo zilikuwa zinavaliwa siku maalum kuna kila dalili waliziibua sandukuni kwaajili ya picha baada ya zoezi la picha kwisha viwalo vikarejeshwa sandukuni,hapo lazima zitakuwa zinanukia zile gololi nyeupe za kuzuia mende ahaaa aaaa.

20z8uvt.jpg
 
Hawa jamaa lazima atakuwa Wasukuma au Wanyamwezi maaana enzi hizo walikuwa wanapenda sana kutembea na radio na baiskeli..
 
Hivi hao jamaa wawili kushoto na kulia kwa Nyani Ngabu ni kina nani? Mmoja wao alikua ameazimisha viatu na vilikua havijarudishwa hadi siku ya kupiga picha, mtu mzima akaona isiwe taabu hata ndala zitatosha.
 
hahahahahahahaha! dah! safi sana, tuwekee na picha za enzi hizo za akina afrodenzi, lizzy, faizafox, ashadii, mamdenyi, na wengineo humu, tuone jinsi walivyokuwa wanajiachia na vigauni vyao.
 
SoA,

Umeniacha mbavu sina hapa! Miondoko, hicho kiatu sasa...! Tumetoka mbali
 
wekeni na vijana wa leo tujaribu kulinganisha, ikiwezekana na wakina mama wa zamani na wa kileo.
 
Ilikuwa inaitwa Chembaga natogagwa
Mmmh, mnaona kama hadithi wakati sie ndo yalikuwa maisha

halafu Gee NN kavaa nini? hiyo 'kaptula' mbona inanitatiza...lol

YoYo si haba...heheheee
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom