Nyalando aipepea CCM: Asifia upepo na jua la "Tanzania"..

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
TBC1 kuna naibu waziri Lazaro Nyarando kama kawaida ya CCM anapiga porojo, anatoa list ya vitu wanavyotaka kufanya, ataoa list ya ziara zake anzotaka kufanya, anasifia Tanzania ina upepo mzuri eti ya pili dunia nzima kwa ubora kwa ajili ya kuzalishia umeme, anasifia Jua la Tanzania eti zuri kwa kuzalishia umeme, anasema eti tuna makaa ya mawe mamilioni ya tani kwa hiyo watu wasihofu mambo yatakua mazuri tu. . . .hivi hawa CCM wana akili kweli? yaani kila kukicha story tu. . .something tangible plz! kila siku wao ni mipango tu hakuna linaloonekana, kwa kweli ndugu Lazaro Mnakera, hatuna shida ya kusikia sauti yako, nenda kafanye kazi badala ya kuuza chai hapo TBC1
 
hili ndo ***** kabisa ..yaani sitakagi hata kumsikiliza maana ni kiazi haswa
 
Halafu kuna watanzania kibao wamempigia kura huyo mnayemwita Kiazi sasa sijui nao viazi au maboga kabisa. Ila jamaa wanakera na mipango isiyoisha.
 
dhambi ya Nyalundu i wapi? mlitaka akae kimya ili iweje? akitafuta vyanzo mbadala vya umeme kama wajibu wake watu wanachonga.
akikaa kimya ndio majukumu ya wizara yake yatatekelezwa vizuri zaidi?
 
TBC1 kuna naibu waziri Lazaro Nyarando kama kawaida ya CCM anapiga porojo, anatoa list ya vitu wanavyotaka kufanya, ataoa list ya ziara zake anzotaka kufanya, anasifia Tanzania ina upepo mzuri eti ya pili dunia nzima kwa ubora kwa ajili ya kuzalishia umeme, anasifia Jua la Tanzania eti zuri kwa kuzalishia umeme, anasema eti tuna makaa ya mawe mamilioni ya tani kwa hiyo watu wasihofu mambo yatakua mazuri tu. . . .hivi hawa CCM wana akili kweli? yaani kila kukicha story tu. . .something tangible plz! kila siku wao ni mipango tu hakuna linaloonekana, kwa kweli ndugu Lazaro Mnakera, hatuna shida ya kusikia sauti yako, nenda kafanye kazi badala ya kuuza chai hapo TBC1

huyo jamaa ni full mashauzi. angekuwa mwanamke sijui angekuwaje!
 
Jamaa km nimemwelewa ishu ni utangazaji wa sera nyingiiii ambazo hatuoni utekelezaji wake jamaa ni Kiazi kweli Katoka China juzi Anataka Watanzania wajue nae yumo Tatizo la Viongozi wetu hawa ni sera tuuuuuu Hata waliomchagua huko Singida ni Viazi tuuu Singida ni miongon mwa mikoa iliyonyuma sanaaaaaaa nani asiyejua?Tuache unafiki
 
huyu jamaa ni mmoja kati ya wapenda sifa hapa nchini.......juzi amenikera sana wakati analounch shahada mpya pale mlimani......anaongea ka kupenda sifa...
 
dhambi ya Nyalundu i wapi? mlitaka akae kimya ili iweje? akitafuta vyanzo mbadala vya umeme kama wajibu wake watu wanachonga.
akikaa kimya ndio majukumu ya wizara yake yatatekelezwa vizuri zaidi?

50 yrs, of indepedence, hatuwezi hata ku plan na kutoa projections za maendeleo, hayo makaa ya mawe hayajagunduliwa mwaka juzi, huo upepo upo tu centuries, matatatizo ya umeme leo yana umri wa mtoto kuwa form one, Hata serengeti ni mbuga nzuri kuliko zote duniani lakini watalii na mapato yapo Masai mara yenye ukubwa wa 10%ya serengetia. hata Tanzanite inayopatikana pekee hapa kwetu, dhahabu ni wazalishaji wakubwa hapa Afrika baada ya Ghana na SA
Lakini yote hayo yako wapi, CCM is not serious
 
dhambi ya Nyalundu i wapi? mlitaka akae kimya ili iweje? akitafuta vyanzo mbadala vya umeme kama wajibu wake watu wanachonga.
akikaa kimya ndio majukumu ya wizara yake yatatekelezwa vizuri zaidi?

huu sio mda wa kujishaua runingani na kupiga soga zilizozoeleka wewe.. we have been through that stuff mpaka tumechoka.

huu ni mda wa kuact na kuleta matokeo watu waone sio kuongea tu upumbavu.. huko nyumba tulishaambiwa majukwaani mgawo wa umeme hautatokea tena lakini hapa napoandika hii mail sina umeme...ushenzi to the maximum
 
Muda umefika tunawaambia ccm.."Stop Thinking start Doing.."
 
50 yrs, of indepedence, hatuwezi hata ku plan na kutoa projections za maendeleo, hayo makaa ya mawe hayajagunduliwa mwaka juzi, huo upepo upo tu centuries, matatatizo ya umeme leo yana umri wa mtoto kuwa form one, Hata serengeti ni mbuga nzuri kuliko zote duniani lakini watalii na mapato yapo Masai mara yenye ukubwa wa 10%ya serengetia. hata Tanzanite inayopatikana pekee hapa kwetu, dhahabu ni wazalishaji wakubwa hapa Afrika baada ya Ghana na SA
Lakini yote hayo yako wapi, CCM is not serious

Matatizo ya Umeme yalianza mwaka 1992, yana umri wa kijana aliyemaliza Shule na kupiga Kura Mwaka Jana.
 
50 yrs, of indepedence, hatuwezi hata ku plan na kutoa projections za maendeleo, hayo makaa ya mawe hayajagunduliwa mwaka juzi, huo upepo upo tu centuries, matatatizo ya umeme leo yana umri wa mtoto kuwa form one, Hata serengeti ni mbuga nzuri kuliko zote duniani lakini watalii na mapato yapo Masai mara yenye ukubwa wa 10%ya serengetia. hata Tanzanite inayopatikana pekee hapa kwetu, dhahabu ni wazalishaji wakubwa hapa Afrika baada ya Ghana na SA
Lakini yote hayo yako wapi, CCM is not serious

Kila nikiyawaza yote hayo afu na umaskini tulionao...jibu ni rahisi ccm is not serious..
Kama wanavyojinasibu kuwa wamepewa nguvu ya umma mbona huo umma unateketea na umaskini,ujinga na maradhi, aanzeni basi kutenda lini mtaacha porojo???
,
 
50 yrs, of indepedence, hatuwezi hata ku plan na kutoa projections za maendeleo, hayo makaa ya mawe hayajagunduliwa mwaka juzi, huo upepo upo tu centuries, matatatizo ya umeme leo yana umri wa mtoto kuwa form one, Hata serengeti ni mbuga nzuri kuliko zote duniani lakini watalii na mapato yapo Masai mara yenye ukubwa wa 10%ya serengetia. hata Tanzanite inayopatikana pekee hapa kwetu, dhahabu ni wazalishaji wakubwa hapa Afrika baada ya Ghana na SA
Lakini yote hayo yako wapi, CCM is not serious

Bulunga!
Wewe ni great thinker, kwa nini unauliza maswali yanayo paswa kuulizwa na vijana ambao hawajaenda shule? hivi watu wote humu nchini walizaliwa baada ya uhuru? hivi unataka kusema waafrika walikua hawawezi kufikiri kabla ya uhuru? unajua kufikiri hivyo ni kujidhalilisha kama mwafrika? hivi wanataaluma tumeifania nini nchi hii baada ya uhuru kama ndivyo unavyofikiri? wazee wetu pamoja na elimu ndogo waliyo kuwa nayo walimtoa mkoloni ili tujitawale katika nyanja zote za ustawi wa jamii, ikiwemo maendeleo ya elimu na teknolojia. leo ni ni maneno tu kila kukicha tunauliza miaka hamsini CCM imefanya nini!! Umeme its about technology ambayo sijui how strong we are on this. Tatizo la umeme linakua siku hadi siku kwani nini ma Electrical Engineers wasiseme au ku propose njia mbadala ofcourse si nuclear power pamoja na uranium kuwepo ya kutosha, maana kwa kama hatuwezi ku-manage hydro power, the only option we have ni huo wa upepo! sasa hapo jamaa kakosea nini kutoa taarifa hiyo. na kama alivyo sema turbine/generator haipo sokoni kwamba inanunuliwa lazima ianze kujengwa baada ya makubaliano na NDC tatizo liko wapi? Kuhusu madini again ni sisi wasomi tumeshindwa kulisaidia taifa! hatuna utaalam wa kuosha ku-negotiate na kuingia mikataba yenye akili na tija kwa taifa letu matokeo yake wasomi tunauliza maswali ambayo vijana wa mtaani wanajiuliza wakiwa vijiweni ila wao ni haki yao kuuliza inakera kama watu wanaojiita great thinkers wanauliza the same questions!
 
dhambi ya Nyalundu i wapi? mlitaka akae kimya ili iweje? akitafuta vyanzo mbadala vya umeme kama wajibu wake watu wanachonga.
akikaa kimya ndio majukumu ya wizara yake yatatekelezwa vizuri zaidi?

Nadhani Nyarandu kama Nyarandu huenda watu hawana ugomvi nae. Tatizo hapa ambalo wengi linatusikitisha ni system hii ya uongozi wetu hasa huu wa ccm na serikali yake wa kupiga porojo zaidi kuliko vitendo. Msikilize "mtoto wa mkulima" kajaa hadithi nyingi za kusadikika. watu wanataka kusikia Mtukufu Rais wa URT kazindua ufuajia umeme kutumia upepo, makaa ya mawe, nuklia (kama nae anavyoahidi), kaweka jiwe la msingi Stiegler gorge nk. Tumechoka na lugha za TUTA, TUNGE, MSUKOSUKO WA UCHUMI DUNIANI, MIKAKATI (isioisha miaka 50 ya uhuru na hata waliotutawala wamesahau kama waliitawala nchi kama Tanganyika). Hapo tu Sangara nafikiri hata watoto wako ndani ya Lake Victoria watafurahi porojo za ghiribu zitakapokoma!!
 
bulunga!
wewe ni great thinker, kwa nini unauliza maswali yanayo paswa kuulizwa na vijana ambao hawajaenda shule? Hivi watu wote humu nchini walizaliwa baada ya uhuru? Hivi unataka kusema waafrika walikua hawawezi kufikiri kabla ya uhuru? Unajua kufikiri hivyo ni kujidhalilisha kama mwafrika? Hivi wanataaluma tumeifania nini nchi hii baada ya uhuru kama ndivyo unavyofikiri? Wazee wetu pamoja na elimu ndogo waliyo kuwa nayo walimtoa mkoloni ili tujitawale katika nyanja zote za ustawi wa jamii, ikiwemo maendeleo ya elimu na teknolojia. Leo ni ni maneno tu kila kukicha tunauliza miaka hamsini ccm imefanya nini!! Umeme its about technology ambayo sijui how strong we are on this. Tatizo la umeme linakua siku hadi siku kwani nini ma electrical engineers wasiseme au ku propose njia mbadala ofcourse si nuclear power pamoja na uranium kuwepo ya kutosha, maana kwa kama hatuwezi ku-manage hydro power, the only option we have ni huo wa upepo! Sasa hapo jamaa kakosea nini kutoa taarifa hiyo. Na kama alivyo sema turbine/generator haipo sokoni kwamba inanunuliwa lazima ianze kujengwa baada ya makubaliano na ndc tatizo liko wapi? Kuhusu madini again ni sisi wasomi tumeshindwa kulisaidia taifa! Hatuna utaalam wa kuosha ku-negotiate na kuingia mikataba yenye akili na tija kwa taifa letu matokeo yake wasomi tunauliza maswali ambayo vijana wa mtaani wanajiuliza wakiwa vijiweni ila wao ni haki yao kuuliza inakera kama watu wanaojiita great thinkers wanauliza the same questions!

acha kuongeza porojo. Samahani lakini.
 
Back
Top Bottom