Nyalando aipepea CCM: Asifia upepo na jua la "Tanzania"..

TBC1 kuna naibu waziri Lazaro Nyarando kama kawaida ya CCM anapiga porojo, anatoa list ya vitu wanavyotaka kufanya, ataoa list ya ziara zake anzotaka kufanya, anasifia Tanzania ina upepo mzuri eti ya pili dunia nzima kwa ubora kwa ajili ya kuzalishia umeme, anasifia Jua la Tanzania eti zuri kwa kuzalishia umeme, anasema eti tuna makaa ya mawe mamilioni ya tani kwa hiyo watu wasihofu mambo yatakua mazuri tu. . . .hivi hawa CCM wana akili kweli? yaani kila kukicha story tu. . .something tangible plz! kila siku wao ni mipango tu hakuna linaloonekana, kwa kweli ndugu Lazaro Mnakera, hatuna shida ya kusikia sauti yako, nenda kafanye kazi badala ya kuuza chai hapo TBC1

Huyo bwana mdogo ni porojo tu tangu alipokuwa shuleni. Ni mpenda sifa, anayehangaika kujikweza. Hana lolote la maana. Anatuambia habari ya jua na upepo kwani ni mtanzania gani asiyejua kwamba nchi yetu imebarikiwa na rasilimali nyingi zinazoweza kutumika kufua umeme?? Wanachojua wananchi ni kuwa ccm na serikali yake wameshindwa kulipatia ufumbuzi tatizo la miaka na miaka la umeme. Ndiyo maana sasa wamechachamaa wanataka kuiondoa ccm madarakani. Asituletee upuuzi wake hapa.
 
TBC1 kuna naibu waziri Lazaro Nyarando kama kawaida ya CCM anapiga porojo, anatoa list ya vitu wanavyotaka kufanya, ataoa list ya ziara zake anzotaka kufanya, anasifia Tanzania ina upepo mzuri eti ya pili dunia nzima kwa ubora kwa ajili ya kuzalishia umeme, anasifia Jua la Tanzania eti zuri kwa kuzalishia umeme, anasema eti tuna makaa ya mawe mamilioni ya tani kwa hiyo watu wasihofu mambo yatakua mazuri tu. . . .hivi hawa CCM wana akili kweli? yaani kila kukicha story tu. . .something tangible plz! kila siku wao ni mipango tu hakuna linaloonekana, kwa kweli ndugu Lazaro Mnakera, hatuna shida ya kusikia sauti yako, nenda kafanye kazi badala ya kuuza chai hapo TBC1

Yale yaleeee! Mipango ya kwenye briefcase tangu enzi za mkoloni. Hivi hawana aibu hawa watu? Je baada ya kuyasema hayo ndio umeme umewaka? Aibu, aibu, aibu.
 
Back
Top Bottom