ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,280
- 15,315
Ungejua polisi wanavyopenda ushahidi wa kimazingira
Kimbia mbio Mkuu, ngoja siku kawe na msala pale dawati la jinsia polisi alafu kaseme hata hivi tu ''Ankoo jungle anapafahamu nyumbani'' Mkuu hako lazima wakakapime njia zote kama zipo salama kwa kukutaha tu 'Ankoo' na lazima utatafutwa tu.Dadavua ankoo, kuna kabinti kameanza kuniita ankòo sikaelewi.
Aliyeelewa Kidhungu AnielewesheNenda dukan nunua pipi mfuko mzma fanya mgao Kwa watoto ,isiwe mara Moja fanya Zaidi na Zaidi
Kwa kifupi Kama wazitaka Baraka mwaka 2023 wafanye watoto wadogo kua na furaha
You cant be happy kwenye hi dunia if you can't find excitement in small things
Mwandishi mmoja maarufu amewai andika haya
When I was growing up, my father said something to me I will never forget, "Son, when you were born, you
cried while the world rejoiced.
Live your life in such a way that when you die the world cries while you
rejoice." We live in an age when we have forgotten what life is all about.
We can easily put a person on the
Moon, but we have trouble walking across the street to meet a new neighbor.
We can fire a missile across
the world with pinpoint accuracy, but we have trouble keeping a date with our children to go to the library.
We have e-mail, fax machines and digital phones so that we can stay connected and yet we live in a time
where human beings have never been less connected. We have lost touch with our humanity.
We have lost
touch with our purpose. We have lost sight of the things that matter the most.
Hii comment tuiwekee Lamination halafu uzi ufungweHili kila nikijaribu kufikiri kulifanya nasikia moyo mzito, kuna mtu alikuwa anafanya hivi miaka ya nyuma alikuwa anakutana na maneno mabaya sana. Siku za leo kugawa pipi bila utaratibu utajitafutia matatizo labda uwe mwalimu wao unayewafundisha nje na hapo unajitafutia matatizo.
This explains everything with pin point accuracyOya mbona mnakuwa kama mambumbumbu kumshambulia mtoa mada
Ametumia pipi kama mfano wa kitu kidogo unachoweza kukifanya kumpa binadamu mwenzako furaha bila kuhtaj malipo yeyote
Kama unajua jirani yako huwa analala njaa msaidie hela ya msosi bila kumsimanga
Kama unajua mtoto wa jilan yako hana begi wafate wazazi wake ukamnunulie begi
Jilani yako anapika vitumbua wewe unaingiza 10M Kwa mwezi, muoongezee mtaji
Nenda hospital katembelee wagonjwa
Amemaanisha tu tuwe nice to each other nashangaa mnamshambulia suala pipi
Tumekuwa wabinafsi sisi sote.
Sent using Jamii Forums mobile app
🙏Hii comment tuiwekee Lamination halafu uzi ufungwe
Ameanza mwaka mpya kwa namna nyingineKwa mara ya kwanza mpwayungu kawaza nje ya box
Wakioza meno sintoshitakiwa?Nenda dukan nunua pipi mfuko mzma fanya mgao Kwa watoto ,isiwe mara Moja fanya Zaidi na Zaidi
Kwa kifupi Kama wazitaka Baraka mwaka 2023 wafanye watoto wadogo kua na furaha
You cant be happy kwenye hi dunia if you can't find excitement in small things
Mwandishi mmoja maarufu amewai andika haya
When I was growing up, my father said something to me I will never forget, "Son, when you were born, you
cried while the world rejoiced.
Live your life in such a way that when you die the world cries while you
rejoice." We live in an age when we have forgotten what life is all about.
We can easily put a person on the
Moon, but we have trouble walking across the street to meet a new neighbor.
We can fire a missile across
the world with pinpoint accuracy, but we have trouble keeping a date with our children to go to the library.
We have e-mail, fax machines and digital phones so that we can stay connected and yet we live in a time
where human beings have never been less connected. We have lost touch with our humanity.
We have lost
touch with our purpose. We have lost sight of the things that matter the most.
UnajidanganyaNenda dukan nunua pipi mfuko mzma fanya mgao Kwa watoto ,isiwe mara Moja fanya Zaidi na Zaidi
Kwa kifupi Kama wazitaka Baraka mwaka 2023 wafanye watoto wadogo kua na furaha
You cant be happy kwenye hi dunia if you can't find excitement in small things
Mwandishi mmoja maarufu amewai andika haya
When I was growing up, my father said something to me I will never forget, "Son, when you were born, you
cried while the world rejoiced.
Live your life in such a way that when you die the world cries while you
rejoice." We live in an age when we have forgotten what life is all about.
We can easily put a person on the
Moon, but we have trouble walking across the street to meet a new neighbor.
We can fire a missile across
the world with pinpoint accuracy, but we have trouble keeping a date with our children to go to the library.
We have e-mail, fax machines and digital phones so that we can stay connected and yet we live in a time
where human beings have never been less connected. We have lost touch with our humanity.
We have lost
touch with our purpose. We have lost sight of the things that matter the most.
Mkuu ulipotea sanaMuulize Michael Jackson alijifanya anawapenda watoto akawa anawaleta Hadi kwake wanalala watoto Hadi 10. Aliishia kuambiwa yawezekana anawabaka watoto... Ilimsumbua Hii kesi Hadi akafariki.
Uko sawaUtakuja kupewa kesi ya ulawiti
Hakika mkuu! Nimefurahi kukuona bado upo active jamvini.Mkuu ulipotea sana
Niliwahi kununua pipi mkuu, ila kwa hela ya mshua. Niligawa ofa mtaa mzima nikajiona kibopa tena hapo nna miaka sita.Nenda dukan nunua pipi mfuko mzma fanya mgao Kwa watoto ,isiwe mara Moja fanya Zaidi na Zaidi
Kwa kifupi Kama wazitaka Baraka mwaka 2023 wafanye watoto wadogo kua na furaha
You cant be happy kwenye hi dunia if you can't find excitement in small things
Mwandishi mmoja maarufu amewai andika haya
When I was growing up, my father said something to me I will never forget, "Son, when you were born, you
cried while the world rejoiced.
Live your life in such a way that when you die the world cries while you
rejoice." We live in an age when we have forgotten what life is all about.
We can easily put a person on the
Moon, but we have trouble walking across the street to meet a new neighbor.
We can fire a missile across
the world with pinpoint accuracy, but we have trouble keeping a date with our children to go to the library.
We have e-mail, fax machines and digital phones so that we can stay connected and yet we live in a time
where human beings have never been less connected. We have lost touch with our humanity.
We have lost
touch with our purpose. We have lost sight of the things that matter the most.
Kabisaa!thubutu, hawakawii kukwambia unawalawiti hao watoto
acha mazoea hayo mara moja utanyia debe